Mwakinyo: Mashehe na Masharif wa Tanga wafanye jambo Ili iwe fundisho, siyo kila jambo aachiwe Mungu kuamua!

Kumuachia MUNGU ni pamoja na kumuomba yy afanye kwa mapenzi yake, sasa hiki kisomo kwamba wakifanye na si kumwachia MUNGU maana yake hiki kisomo ni against MUNGU au ni kumsaidia mungu?
 
ni ushauri nimempa ndugu wala sio kwa ubaya
 
habari ya mweshimiwa mwakiembe inakakaje hapa ndugu
 
Mkuu kwa hilii haijalishi wewe ni mcheza mpira au karate .kwa kila binaadamu lazima limuume
ni kweli msiba unagusa kila mtu hasa watu wa karibu lakini mihemko isishike hatamu kipindi hiki kigumu
 
Kwa hili kila mtu limemgusa.
Bado kidogo nchi itafumula wananchi wataanza kusikilizana wenyewe bila kusimamiwa na hapo ndio machafuko yanakoanziaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…