Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mwakinyo bado unamtumia yule mkalimani wako uliyeenda naye Uingereza?Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo amesema hana mpango wa kupigana na bondia yoyote kutoka ndani ya nchi, amewataka wanaomzungumzia waache kumfikiria
Mwakinyo anatarajia kupigana na Julius Indongo, kutoka Namibia Septemba 3, 2021 wakipigania mkanda wa African Boxing Union Super Walter Title
Mara kadhaa bondia wa Twaha Lubaha maarufu kama Twaha Kiduku amekuwa akitamka kutaka pambano na Hassan Mwakinyo
Yule beach boy wa Ilala alikuwepo na dude kwenye ile show ya ITV sijui ya kuhusu utapeli, now kapiga kambi UK na ndie aliempa Mwakinyo lile dodo la kupigana na EngingtonMwakinyo bado unamtumia yule mkalimani wako uliyeenda naye Uingereza?
Babu Tale akili zake zinamtosha kugonga meza bungeni na kukenua kenua tuTatizo la Twaha Kiduku ni kumsikiliza Babu Tale! Badala ya kuwaza kuitangaza nchi Kimatifa, yeye anawaza kupambana na Wabongo wenzake, huku akiwakamia ili mwisho wa pambano azawadiwe Toyota Crown, Brevis, nk. Badala ya Mikanda ya Kimataifa.
Mnamibia aliwahi kuwa World Champion, ingawa sahivi umri umesogea hayuko kwenye 'prime'Mwakinyo kwa kiduku hata round ya 5 afikishi,hao mapromota waendelee kumletea mabondia wabovu,na ndio maana mwakinyo hata russia athubutu kwenda kupigana kule anajua atapigwa while kiduku na dulla mara nyingi tu uwa wanaenda kupigana russia,mwaki kulinda career yake uwa anataka kupigana na mabondia wenye uwezo mdogo hata huyo mnamibia sidhani kama anafikia rekodi ya kiduku au dulla
Hao ndio dizaini wa kulinda heshima ya Mwakinyo, real boxer hataki kupigana naoMnamibia aliwahi kuwa World Champion, ingawa sahivi umri umesogea hayuko kwenye 'prime'
Hao ndio dizaini wa kulinda heshima ya mwakinyo,real boxer hataki kupigana nao
Haaaaahaaaaa yule anaitwa chidy mtoto wa mjini mjanjamjanja hv miaka ya nyuma alikuwa anaigiza na akina dude bongo daresalam mi mwenyewe nikashangaa kumuona siķu ile nikajiuliza kaanza lini upromota? Nilicheka saàaaanaMwakinyo bado unamtumia yule mkalimani wako uliyeenda naye Uingereza?
Mwakinyo atapigwa tena kwa mara nyingine na asitegemee mbeleko ya home ground maana hatomaliza rounds zote.Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo amesema hana mpango wa kupigana na bondia yoyote kutoka ndani ya nchi, amewataka wanaomzungumzia waache kumfikiria
Mwakinyo anatarajia kupigana na Julius Indongo, kutoka Namibia Septemba 3, 2021 wakipigania mkanda wa African Boxing Union Super Walter Title
Mara kadhaa bondia wa Twaha Lubaha maarufu kama Twaha Kiduku amekuwa akitamka kutaka pambano na Hassan Mwakinyo
Mwakinyo asipigane kabisa na hawa underdogs aachane nao kabisa afocus kwenye mapambano ya kimataifaBondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo amesema hana mpango wa kupigana na bondia yoyote kutoka ndani ya nchi, amewataka wanaomzungumzia waache kumfikiria