Mwakinyo, Sina mpango wa kupigana na bondia yoyote kutoka ndani ya nchi

Mwakinyo, Sina mpango wa kupigana na bondia yoyote kutoka ndani ya nchi

Haaaaahaaaaa yule anaitwa chidy mtoto wa mjini mjanjamjanja hv miaka ya nyuma alikuwa anaigiza na akina dude bongo daresalam mi mwenyewe nikashangaa kumuona siķu ile nikajiuliza kaanza lini upromota? Nilicheka saàaaana
Maisha ni kutafuta mzee
 
Kweli aisee jamaa yupo sahihi, kwenye maisha unatakiwa uwe na standards, kuna level inafika unawaza mambo makubwa makubwa tu
 
Kweli kabisa, Twaha atafute kwanza mapambano ya hadhi ili afahamike duniani end then wakiwa best wanaweza kwenda kutuanga hata Madagascar wakavuna pesa
Wapigane tu,,pambano lisilo na ubingwa.

Mwakinyo ni muoga.
Inaonyesha kwa jinsi gani sio bondia mzr.
 
Kwa hyo mabondia wanaopigana na Twaha ndio real boxers? Na matokeo huwaje? Acha uongo mwakinyo anapigana na mabondia wajuu na anashinda ndio maana anashika nafas ya 24 duniani kwenye uzito wake.
Nitajie mabondia wa juu aliopigana nao ukitoa yule aliempa umaarufu pale uingereza.
 
Tatizo la Twaha Kiduku ni kumsikiliza Babu Tale! Badala ya kuwaza kuitangaza nchi Kimatifa, yeye anawaza kupambana na Wabongo wenzake, huku akiwakamia ili mwisho wa pambano azawadiwe Toyota Crown, Brevis, nk. Badala ya Mikanda ya Kimataifa.
utauzaje bidhaa kimataifa soko landani halijatosha
 
Eggington, Anthonio mayala. Kimsingi bondia hawaz kupanda nafas kwa kuwapga vibonde
Ujanielewa toa Eggington baada ya hapo nitafutie bondia aliekuwa juu ya mwakinyo na wakapigana hata uyo mayala kipindi wanapigana alikuwa na stars ngap na alikuwa namba ngap africa.
 
Kwahiyo apigane tu kutafuta sifa na kukuridhisha wewe mkuu
Kwani anapigana bure?

Hivi wewe aje mtoto akutukane matusi ya nguoni kila siku utakuwa kimya?

Piga makofi. Tu.

Ogopa mtu anayesema hata mnipe nn sipigani..
 
Mbona takwim za twaha hamzileti?Kitu kimoja kikubwa Cha kujua bondia hapandi nafas kwa kuwapiga vibonde, Kwan twaha amewah kupigana na nani aliyemkaribia kiwango mwakinyo na matokeo yakawaje Kiduku rekodi yake ya nje ni mbovu na anapigana na wabovu.
Ujanielewa toa Eggington baada ya hapo nitafutie bondia aliekuwa juu ya mwakinyo na wakapigana hata uyo mayala kipindi wanapigana alikuwa na stars ngap na alikuwa namba ngap africa.
Angalia win zake ni kina Dula, mada maugo. Ni wazi anatakiwa kutafuta mapambano ya viwango na ashinde ili amsogelee mwakinyo. Sio kupigana na Dula na mada maugo na kuvimba kichwa. Juzi juzi hapa kaenda Kazakhstan akala kipigo
Screenshot_20210822-235215.jpeg
 
Back
Top Bottom