Binafsi huwa najiuliza kama Manji anaitaka Yanga Kwann anawatumia watu ndo wamsemee? Tunashida kibao saiz jangwani japo Tff nao wanamapungufu yao but approach ya Manji naye binafsi siielewi kabisa
Wanatengeneza mazingira ya kupata chochote kwa Manji apo.
Ni kweli,Matopeni ukiwatajia Manji wanakuwa machizi ghafla. Wanajua hawamuwezi kabisa.
Wenye timu wanamtaka Manji, nyie shida yenu iko wapi?
Si mna kampuni yenu? Pelekeni mawazo yenu huko na mnunue hisa.
Siku hizi mna soma katiba ya Yanga. Yenu mnaijua? Mnaujua mfumo wa kampuni? Mnajua hata mwana Yanga mwenye hela zake anaweza kununua hisa au kuinunua Simba yenyewe?
Kisa Manji tu, kuanzia PM, Mwakyembe, Karia na wajinga wajinga wengine kelele ni Uchaguzi wa Yanga. Mind your own business.
Ni kweli,
Sasa hivi Simba ni kampuni, na ina malengo ya kujiimarisha zaidi kisoka na wala haipo tena kwenye upenzi wa mtu mmoja mmoja.
Simba tunafikiria kumshawishi Tajiri na mshabiki wa Yanga Mheshimiwa Rostam Azizi aje anunue hisa kwenye kampuni ya
" Simba Company Ltd.
Hapa ni Uwekezaji tu, tulishachoshwaga na kuachaga habari ya kumlilia lilia mtu mmoja yaani Azim Dewji.
Yanga kama mnataka kuboresha timu yenu waigeni Simba sc. na mtu sahihi kwenu ni Bwana Rostam Aziz.
Kinachotakiwa kwenu kwa sasa ni kumshawishi na kumhakikishia tajiri Rostam kuwa, Pesa atakayoweka hapo itazaa faida na italindwa.
Huyo ndiye mtu sahihi kwa sasa na inabidi mumuwahi kabla ya hajabadili mawazo ya kuishabikia Yanga fc.
Matopeni ukiwatajia Manji wanakuwa machizi ghafla. Wanajua hawamuwezi kabisa.
Wenye timu wanamtaka Manji, nyie shida yenu iko wapi?
Si mna kampuni yenu? Pelekeni mawazo yenu huko na mnunue hisa.
Siku hizi mna soma katiba ya Yanga. Yenu mnaijua? Mnaujua mfumo wa kampuni? Mnajua hata mwana Yanga mwenye hela zake anaweza kununua hisa au kuinunua Simba yenyewe?
Kisa Manji tu, kuanzia PM, Mwakyembe, Karia na wajinga wajinga wengine kelele ni Uchaguzi wa Yanga. Mind your own business.
Acha limrudie na kummaliza kabisa.Ile haikuwa sumu bali gundu
Acha limrudie na kummaliza kabisa.
TFF hao hao walimtoa Sanga kwa kumtumbua Uenyekiti wa Manji. Leo hii huyo sijui mchengelwa whatever his name eti Hamtambui Manji.
After all, baada ya mwaka kuna Uchaguzi wa kawaida. Wanaona tabu gani Manji kumaliza muda wake?
Njama zimesukwa mapema ili akichukua fomu wakate jina lake.
Ushawishi upi?Yanga songeni mbele, acheni kulialia. Si TFF wala Mwakyembe waliomtoa Manji. Mkishindwa kumshawishi Manji kurudi inabidi mtazame mbele