Mwakyembe acha kuivuruga Yanga

Mwakyembe acha kuivuruga Yanga

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Michezo ni upendo na uleta undugu na hivyo kuweka hali ya amani popote pale duniani.Mwakyembe kwa kushirikiana na TFF wacheni kabisa kupandikiza migogoro ndani ya Yanga waacheni wafanye uchaguzi wao kwa kutumia katiba yao na pia hao TFF wajitathimini sana kwa kuwa na ndimi mbilimbili.

Kama walimtoa Sanga kwenye nafasi ya uenyekiti wa vilabu vya ligi kuu ya soka Tanzania bara kwa kudai kuwa Manji karejea kazini inakuwaje leo hii TFF hiyo hiyo inamkataa Manji kuwa bado ni mwenyekiti wa Yanga?

Hii ni mbinu ya kutaka kuleta mgogoro ndani ya hawa mafarasi wakubwa wa soka la Tanzania.
 
Binafsi huwa najiuliza kama Manji anaitaka Yanga Kwann anawatumia watu ndo wamsemee? Tunashida kibao saiz jangwani japo Tff nao wanamapungufu yao but approach ya Manji naye binafsi siielewi kabisa
 
TFF na MWAKYEMBE wanalitafutia taifa kufungiwa na FIFA maana wapenzi wa soka ni sawa na vichaa very soon utasikia mtu mmoja anatinga mahakamani kuupinga huu upumbavi wa Tff
Binafsi huwa najiuliza kama Manji anaitaka Yanga Kwann anawatumia watu ndo wamsemee? Tunashida kibao saiz jangwani japo Tff nao wanamapungufu yao but approach ya Manji naye binafsi siielewi kabisa
 
Akili za maskini bwana. Anaweza akakosa pesa ya kula akaanza kulaumu tajiri. Badala yanga wadeal na tatizo lao wanamsukumia tatizo mwakyembe. Wanasahau hata akilimali ashasema kuwa acheni upumbavuh wa kulazimisha manji awe mwenyekiti.kama anataka si akachukue form?kwa nini asitume hata mke wake akamchukulie?wanakuja watu tunadhan ni wanaume kumbe mahawala wanapiga kelele za manji bado mwenyekiti?mnapewa akili na mwakyembe bado mnang'ang'ania upumbavuh.jinga kabisa.

Wanatengeneza mazingira ya kupata chochote kwa Manji apo.
 
Matopeni ukiwatajia Manji wanakuwa machizi ghafla. Wanajua hawamuwezi kabisa.

Wenye timu wanamtaka Manji, nyie shida yenu iko wapi?

Si mna kampuni yenu? Pelekeni mawazo yenu huko na mnunue hisa.

Siku hizi mna soma katiba ya Yanga. Yenu mnaijua? Mnaujua mfumo wa kampuni? Mnajua hata mwana Yanga mwenye hela zake anaweza kununua hisa au kuinunua Simba yenyewe?

Kisa Manji tu, kuanzia PM, Mwakyembe, Karia na wajinga wajinga wengine kelele ni Uchaguzi wa Yanga. Mind your own business.
 
Ni kweli,
Sasa hivi Simba ni kampuni, na ina malengo ya kujiimarisha zaidi kisoka na wala haipo tena kwenye upenzi wa mtu mmoja mmoja.
Simba tunafikiria kumshawishi Tajiri na mshabiki wa Yanga Mheshimiwa Rostam Azizi aje anunue hisa kwenye kampuni ya
" Simba Company Ltd.
Hapa ni Uwekezaji tu, tulishachoshwaga na kuachaga habari ya kumlilia lilia mtu mmoja yaani Azim Dewji.
Yanga kama mnataka kuboresha timu yenu waigeni Simba sc. na mtu sahihi kwenu ni Bwana Rostam Aziz.
Kinachotakiwa kwenu kwa sasa ni kumshawishi na kumhakikishia tajiri Rostam kuwa, Pesa atakayoweka hapo itazaa faida na italindwa.
Huyo ndiye mtu sahihi kwa sasa na inabidi mumuwahi kabla ya hajabadili mawazo ya kuishabikia Yanga fc.
 
Ushauri wako ni mzuri japo elements za upenzi hukuziwacha pembeni

Mwakyembe hatoweza kukiruka salama hiki kiunzi
Matopeni ukiwatajia Manji wanakuwa machizi ghafla. Wanajua hawamuwezi kabisa.

Wenye timu wanamtaka Manji, nyie shida yenu iko wapi?

Si mna kampuni yenu? Pelekeni mawazo yenu huko na mnunue hisa.

Siku hizi mna soma katiba ya Yanga. Yenu mnaijua? Mnaujua mfumo wa kampuni? Mnajua hata mwana Yanga mwenye hela zake anaweza kununua hisa au kuinunua Simba yenyewe?

Kisa Manji tu, kuanzia PM, Mwakyembe, Karia na wajinga wajinga wengine kelele ni Uchaguzi wa Yanga. Mind your own business.
 
Ile haikuwa sumu bali gundu
Acha limrudie na kummaliza kabisa.
TFF hao hao walimtoa Sanga kwa kutambua Uenyekiti wa Manji. Leo hii huyo sijui mchengelwa whatever his name eti Hamtambui Manji.
After all, baada ya mwaka kuna Uchaguzi wa kawaida. Wanaona tabu gani Manji kumaliza muda wake?

Njama zimesukwa mapema ili akichukua fomu wakate jina lake.
 
Huo ndiyo ukweli maana wana muogopa Manji vibaya sana
Acha limrudie na kummaliza kabisa.
TFF hao hao walimtoa Sanga kwa kumtumbua Uenyekiti wa Manji. Leo hii huyo sijui mchengelwa whatever his name eti Hamtambui Manji.
After all, baada ya mwaka kuna Uchaguzi wa kawaida. Wanaona tabu gani Manji kumaliza muda wake?

Njama zimesukwa mapema ili akichukua fomu wakate jina lake.
 
Yanga songeni mbele, acheni kulialia. Si TFF wala Mwakyembe waliomtoa Manji. Mkishindwa kumshawishi Manji kurudi inabidi mtazame mbele
 
Ushawishi upi?
Kesharudi na barua kandika lakini wana Simba qa TFF hawataki. Watuletee Hans Poppe tujue moja.
 
Back
Top Bottom