Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo yule ni waziri mwenye dhamana ya tasnia hiyo na asemapo waziri husika basi hiyo nibkauli ya swrikaloNi mtamzamo wake hatuwezi fanana
mmmmh,watu bana...hivi diamond unazani anakubalika kwa sababu gani? mbona watu mnajifanya wajuaji sana na wakati reality yenyewe inaonesha true color ya diamond!
Pia kauli ya Waziri ni kauli ya serikali piaKauli ya waziri eti iheshimiwe...hahahahaa
Hivi ni nyota yake inakubalika? ama anajituma na kujina (promotion) kwa hali ya juu?Diamond hakubaliki kwa ajili ya sauti....sema nyota yake inakubalika, na kimuziki hayuko fresh kabisa kapitwa sana na wengine.
Mond hana sauti..ila ana nyota na upambanaji.Kupiitia kipindi hewani cha mshereshaji muimbaji mwanamashairi mwanausasa Mrisho mpoto thedon kiitwacho KAA HAPA. Waziri Mwakyembe akakaribishwa kimahjiano.
Katika mahijiano hayo yaliyojaa kuangalia maadili ya nyimbo zeto na music video wanazotoa,akaibua jambo buana lakumpa heko balozi wa wasanii Nassibu Abdul a.k.a Diamond Platinumz.
Mwakyembe akaeleza kwamba "tuchukulie kijana kama diamond,sauti yake peke yake inatosha kabisa kuuza,ukisema wasanii 10 duniani tuwe wakweli tu!wenye sauti nzuri,diamondi huwezi kumtoa pale"Mwakyembe
Hivi ni sawa kwa takwimu aliyoitoa mwakyembe kwa diamond au ndo kumpapasa kijana etu apoe...
Mi naona mondi ni kama wa laki mbili hivi mpaka kumuona yeye
Bubu?Mond hana sauti..ila ana nyota na upambanaji.
Akafie mbele... Hata top 10 AFRICA haingii... sembuse dunia?Kupiitia kipindi hewani cha mshereshaji muimbaji mwanamashairi mwanausasa Mrisho mpoto thedon kiitwacho KAA HAPA. Waziri Mwakyembe akakaribishwa kimahjiano.
Katika mahijiano hayo yaliyojaa kuangalia maadili ya nyimbo zeto na music video wanazotoa,akaibua jambo buana lakumpa heko balozi wa wasanii Nassibu Abdul a.k.a Diamond Platinumz.
Mwakyembe akaeleza kwamba "tuchukulie kijana kama diamond,sauti yake peke yake inatosha kabisa kuuza,ukisema wasanii 10 duniani tuwe wakweli tu!wenye sauti nzuri,diamondi huwezi kumtoa pale"Mwakyembe
Hivi ni sawa kwa takwimu aliyoitoa mwakyembe kwa diamond au ndo kumpapasa kijana etu apoe...
Mi naona mondi ni kama wa laki mbili hivi mpaka kumuona yeye
Diamond hana sauti nzuri ya kuimba bali ni stage entertainer mzuri kwenye kuimba hapana,bado hajafika ,huko.1.Alikiba
2.Aslay
3.C.Bella
4. Lavalava
5. TID
6. Ramadee
7. Nurueli
8. Engine
9. Steve RnB
10. Belle 9
Hao jamaa wanaweza kumzidi Chibu kwa sauti nzuri lkn uandishi na ujanja ujanja wasimpate
Nilikuwa sijacheka kabisa leo ..asante sana mzee MWA KIEMBE .... Hakika waliokupa sumu wameharibu kabisa mfumo wako wa ufikiriajiKupiitia kipindi hewani cha mshereshaji muimbaji mwanamashairi mwanausasa Mrisho mpoto thedon kiitwacho KAA HAPA. Waziri Mwakyembe akakaribishwa kimahjiano.
Katika mahijiano hayo yaliyojaa kuangalia maadili ya nyimbo zeto na music video wanazotoa,akaibua jambo buana lakumpa heko balozi wa wasanii Nassibu Abdul a.k.a Diamond Platinumz.
Mwakyembe akaeleza kwamba "tuchukulie kijana kama diamond,sauti yake peke yake inatosha kabisa kuuza,ukisema wasanii 10 duniani tuwe wakweli tu!wenye sauti nzuri,diamondi huwezi kumtoa pale"Mwakyembe
Hivi ni sawa kwa takwimu aliyoitoa mwakyembe kwa diamond au ndo kumpapasa kijana etu apoe...
Mi naona mondi ni kama wa laki mbili hivi mpaka kumuona yeye
Kwa upande wa Sauti,binafsi nampendekeza
1.Juma Nature
2.Dully Sykes
3.Alicia Keys
4.Bob Marley
5.Shaggy
6.Celine Dionne
7.Nyota ndogo
8.Davido
9.Lady Jdee
10.Snoopy Dogy
11.Ludacris
12.Beyonce
13.Kanye West
14.Nick Minaj
15.Fally Ipupa
16.Ali Kiba
17.Q Chief
18.Diamond platinum
19.Rayvann
20.Mbaraka Mwinshehe
21.Malijani Rajabu
22.Luck Cube
23.Da brat
24.Shilole
25.Mwasiti
26.Barnabas
27.Baraka
28.Mbosso
29.Michael Jakson
30.Culture
Kwa upande wa Sauti,binafsi nampendekeza