Hii sikuwahi kuisikia kwahiyo azory is no moreDr Mwakyembe ataka watu waache kuuliza alipo Azory Gwanda.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amewashangaa watu wanaofuatilia mahali alipo mwandishi wa habari Azori Gwanda.
Dk Mwakyembe ameyasema hayo bungeni leo alipokuwa akihitimisha mjadala wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2019/20.
Amesema kwamba pamoja na kwamba watu wengi wanataka kujua alipo Gwanda lazima waelewe kwamba eneo alilopotelea mwandishi huyo walipotea watu wengi wakiwamo viongozi wa Serikali.
Kutokana na hali hiyo Waziri huyo amesema watu wasiendelee kufuatilia mahali alipo mwandishi huyo kwa kuwa hilo ni suala dhaifu.
Dk Mwakyembe aliyasema hayo bungeni leo alipokuwa alihitimisha mjadala wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2018/20.
โ Pamoja na hayo Serikali itaendelea kudhibiti watu wanaokiuka utoaji wa maoni kwa kuwa hakuna uhuru usiokuwa na mipaka,โamesema Dk Mwakyembe.
Katika hatua nyingine Waziri huyo amewataka watu wanaokashifiwa na magazeti wakalalamike mahakamani kwa kuwa ndiko haki inakopatikana.
Source: Mtanzania Online
kwa gazeti hili tu, mbona magezeti mengine hufungiwa bila ya kutolewa haki mahakamani?Namimi swala la Tanzanite naunga mkono. Mtu kama hatendewi haki na gazeti flani kwanini haendi mahakaman?Badala yake naye anakuja mitandaoni kutoa shutuma zake. Haki inatolewa mahakaman sio kwenye page za social networks.
Fuatilia huko juu nimeelezea.kwa gazeti hili tu, mbona magezeti mengine hufungiwa bila ya kutolewa haki mahakamani?
Duh haya maisha
Huyu ni mwanasheria mpuuzi sanaDr Mwakyembe ataka watu waache kuuliza alipo Azory Gwanda.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amewashangaa watu wanaofuatilia mahali alipo mwandishi wa habari Azori Gwanda.
Dk Mwakyembe ameyasema hayo bungeni leo alipokuwa akihitimisha mjadala wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2019/20.
Amesema kwamba pamoja na kwamba watu wengi wanataka kujua alipo Gwanda lazima waelewe kwamba eneo alilopotelea mwandishi huyo walipotea watu wengi wakiwamo viongozi wa Serikali.
Kutokana na hali hiyo Waziri huyo amesema watu wasiendelee kufuatilia mahali alipo mwandishi huyo kwa kuwa hilo ni suala dhaifu.
Dk Mwakyembe aliyasema hayo bungeni leo alipokuwa alihitimisha mjadala wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2018/20.
โ Pamoja na hayo Serikali itaendelea kudhibiti watu wanaokiuka utoaji wa maoni kwa kuwa hakuna uhuru usiokuwa na mipaka,โamesema Dk Mwakyembe.
Katika hatua nyingine Waziri huyo amewataka watu wanaokashifiwa na magazeti wakalalamike mahakamani kwa kuwa ndiko haki inakopatikana.
Source: Mtanzania Online
Wacha weeeee !!!!Dr Mwakyembe ataka watu waache kuuliza alipo Azory Gwanda.

[emoji38][emoji38][emoji38]Dah!
Una uhakika kweli uyu mwamba anazo degree 4 ?[emoji848][emoji38][emoji38][emoji38]
Wewe wa Darasa la saba utaniuliza nini mimi mwl wa vyuo vikuu mbali mbali , nina digrii 4 , sana sana labda utanieleza kwamba huna hela ya kula mfukoni ili nikusaidie - MwakyembeUna uhakika kweli uyu mwamba anazo degree 4 ?[emoji848]
๐๐๐๐Kwa niaba ya wananchi wa Kyela wakiwemo wazee wetu waliotulea kwa maadili mazuri mno , naomba kuchukua nafasi hii kuomba radhi sana kwa Kauli zisizo za kibinadamu zinazoendelea kutolewa na Mbunge wetu bungeni na kwingineko , lugha hiyo chafu haiakisi Tabia zetu sisi wana Kyela , ichukuliwe kama Tabia binafsi ya Mwakyembe mwenyewe .