Mwakyembe: Marufuku kumuliza Azory Gwanda alipo. Mbona viongozi wa Serikali hamuwaulizii? Waliokashifiwa na gazeti la Tanzanite waende Mahakamani

Alivyopewa poison ndo ilikuwa chance ya kuliacha liatangulie......[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
 
Angekua ndugu yake amepotea angeongea kauli kama hiyo? God forbid
 
Dr Mwakyembe ataka watu waache kuuliza alipo Azory Gwanda.

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amewashangaa watu wanaofuatilia mahali alipo mwandishi wa habari Azori Gwanda.

Dk Mwakyembe ameyasema hayo bungeni leo alipokuwa akihitimisha mjadala wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2019/20.

Amesema kwamba pamoja na kwamba watu wengi wanataka kujua alipo Gwanda lazima waelewe kwamba eneo alilopotelea mwandishi huyo walipotea watu wengi wakiwamo viongozi wa Serikali.

Kutokana na hali hiyo Waziri huyo amesema watu wasiendelee kufuatilia mahali alipo mwandishi huyo kwa kuwa hilo ni suala dhaifu.

Dk Mwakyembe aliyasema hayo bungeni leo alipokuwa alihitimisha mjadala wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2018/20.

“ Pamoja na hayo Serikali itaendelea kudhibiti watu wanaokiuka utoaji wa maoni kwa kuwa hakuna uhuru usiokuwa na mipaka,”amesema Dk Mwakyembe.

Katika hatua nyingine Waziri huyo amewataka watu wanaokashifiwa na magazeti wakalalamike mahakamani kwa kuwa ndiko haki inakopatikana.

Source: Mtanzania Online
Hii sikuwahi kuisikia kwahiyo azory is no more
 
Namimi swala la Tanzanite naunga mkono. Mtu kama hatendewi haki na gazeti flani kwanini haendi mahakaman?Badala yake naye anakuja mitandaoni kutoa shutuma zake. Haki inatolewa mahakaman sio kwenye page za social networks.
kwa gazeti hili tu, mbona magezeti mengine hufungiwa bila ya kutolewa haki mahakamani?
 
Dr Mwakyembe ataka watu waache kuuliza alipo Azory Gwanda.

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amewashangaa watu wanaofuatilia mahali alipo mwandishi wa habari Azori Gwanda.

Dk Mwakyembe ameyasema hayo bungeni leo alipokuwa akihitimisha mjadala wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2019/20.

Amesema kwamba pamoja na kwamba watu wengi wanataka kujua alipo Gwanda lazima waelewe kwamba eneo alilopotelea mwandishi huyo walipotea watu wengi wakiwamo viongozi wa Serikali.

Kutokana na hali hiyo Waziri huyo amesema watu wasiendelee kufuatilia mahali alipo mwandishi huyo kwa kuwa hilo ni suala dhaifu.

Dk Mwakyembe aliyasema hayo bungeni leo alipokuwa alihitimisha mjadala wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2018/20.

“ Pamoja na hayo Serikali itaendelea kudhibiti watu wanaokiuka utoaji wa maoni kwa kuwa hakuna uhuru usiokuwa na mipaka,”amesema Dk Mwakyembe.

Katika hatua nyingine Waziri huyo amewataka watu wanaokashifiwa na magazeti wakalalamike mahakamani kwa kuwa ndiko haki inakopatikana.

Source: Mtanzania Online
Huyu ni mwanasheria mpuuzi sana
Mtu anapotea mwanasheria nguli hakutaka watu wahoji ati ni hoja dhaifu ??
Ati serikali idhibiti utoaji wa maoni? Yaani mwanasheria mbobevu wa katiba alidiriki kusema haya kweli?
Afu juzi anajitoleza ati anakemea ushoga?
Siyo siri tulifikishwa papaya sana kama taifa
 
Dr Mwakyembe ataka watu waache kuuliza alipo Azory Gwanda.

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amewashangaa watu wanaofuatilia mahali alipo mwandishi wa habari Azori Gwanda.

Dk Mwakyembe ameyasema hayo bungeni leo alipokuwa akihitimisha mjadala wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2019/20.

Amesema kwamba pamoja na kwamba watu wengi wanataka kujua alipo Gwanda lazima waelewe kwamba eneo alilopotelea mwandishi huyo walipotea watu wengi wakiwamo viongozi wa Serikali.

Kutokana na hali hiyo Waziri huyo amesema watu wasiendelee kufuatilia mahali alipo mwandishi huyo kwa kuwa hilo ni suala dhaifu.

Dk Mwakyembe aliyasema hayo bungeni leo alipokuwa alihitimisha mjadala wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2018/20.

“ Pamoja na hayo Serikali itaendelea kudhibiti watu wanaokiuka utoaji wa maoni kwa kuwa hakuna uhuru usiokuwa na mipaka,”amesema Dk Mwakyembe.

Katika hatua nyingine Waziri huyo amewataka watu wanaokashifiwa na magazeti wakalalamike mahakamani kwa kuwa ndiko haki inakopatikana.

Source: Mtanzania Online
Wacha weeeee !!!!
 
Una uhakika kweli uyu mwamba anazo degree 4 ?[emoji848]
Wewe wa Darasa la saba utaniuliza nini mimi mwl wa vyuo vikuu mbali mbali , nina digrii 4 , sana sana labda utanieleza kwamba huna hela ya kula mfukoni ili nikusaidie - Mwakyembe
 
Kwa niaba ya wananchi wa Kyela wakiwemo wazee wetu waliotulea kwa maadili mazuri mno , naomba kuchukua nafasi hii kuomba radhi sana kwa Kauli zisizo za kibinadamu zinazoendelea kutolewa na Mbunge wetu bungeni na kwingineko , lugha hiyo chafu haiakisi Tabia zetu sisi wana Kyela , ichukuliwe kama Tabia binafsi ya Mwakyembe mwenyewe .
😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom