tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Awamu iliyojaa mawaziri dhaifu na wapumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora angekufa kwa ile sumu aliyopewa maana amegeuka kuwa chukizo la wanyonge. Kilangila.Mwakyembe amesahau alivyobabuka mwili watu walikuwa wakimuulizia pia , leo kapona anaponda wanaomuulizia Azori Gwanda ! Hii ni aibu kubwa sana !
Hakuna wajinga kama nyumbuNi wajinga tu na wabinafsi ndio wanaofurahia huu utawala.
Umesema wakitutakanwa na hao unaowasema ni serikali. Je zito ni serikali?Mbona wakitukanwa humu jukwaani huwa wanachukua hatua, au serikali huku jukwaani inaona tu ikitukanwa?
Umesema wakitutakanwa na hao unaowasema ni serikali. Je zito ni serikali?
Mkuu serikali haiwajibiki kufuatilia swala la mtu mmoja mmoja bila ya muhusika kutoa taarifa. Ukiigusa serikali utachukukiwa hatua stahiki lkn sio serikali imuite mhariri kwanini umeandika Zito anatembea na mke wa marehem. Zito ni nani?Zito hana tofauti na wewe tindo au Misuli nk.Leo gazeti likiandika Tindo ni ana matatizo ya akili,sio jukum la serikali kulalamika. Tindo inatakiwa ukatoe taarifa kwenye mamlaka husika. Zito kaambiwa anatembea na mke wa marehem badala ya kushtaki anakimbilia tweeter au fb kutoa mikwara ya kuroga. Serikali ifanye nn?Hao walio serikalini are they so special?
Katika watu wa hovyo,ni huyu jamaa,Dr Mwakyembe ataka watu waache kuuliza alipo Azory Gwanda.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amewashangaa watu wanaofuatilia mahali alipo mwandishi wa habari Azori Gwanda.
Dk Mwakyembe ameyasema hayo bungeni leo alipokuwa akihitimisha mjadala wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2019/20.
Amesema kwamba pamoja na kwamba watu wengi wanataka kujua alipo Gwanda lazima waelewe kwamba eneo alilopotelea mwandishi huyo walipotea watu wengi wakiwamo viongozi wa Serikali.
Kutokana na hali hiyo Waziri huyo amesema watu wasiendelee kufuatilia mahali alipo mwandishi huyo kwa kuwa hilo ni suala dhaifu.
Dk Mwakyembe aliyasema hayo bungeni leo alipokuwa alihitimisha mjadala wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2018/20.
“ Pamoja na hayo Serikali itaendelea kudhibiti watu wanaokiuka utoaji wa maoni kwa kuwa hakuna uhuru usiokuwa na mipaka,”amesema Dk Mwakyembe.
Katika hatua nyingine Waziri huyo amewataka watu wanaokashifiwa na magazeti wakalalamike mahakamani kwa kuwa ndiko haki inakopatikana.
Source: Mtanzania Online
Mkuu co kusudio lao ila tumbo ndugu njaa co mchezo hao washaonja utamu wa ubunge na uwazir akipgwa chin hawez endelea kusaviveViongozi wa TANZANIA mnajipendekeza hadi mnakufuru MUNGU.....
Apotee mwanae au mchepuko wake. “Akipotea” yeye hatofeel uchungu wa watu kuzibwa midomoipo siku atakuja kupotea yeye.alafu na sisi tutakaa kimya.
Mkuki kwa nguruwe .....mbona magazeti ambayo ni pro-wapinzani yakikosea SEREKALI inachukua hatua?
..wananchi wanataka SEREKALI ichukue hatua kwa Tanzanite kama ilivyofanya huko nyuma kwa mwanahalisi, na magazeti mengine.
Akawa kama chatu, labda alibabuka hadi vitu vya ndani including ubongoMwakyembe amesahau alivyobabuka mwili watu walikuwa wakimuulizia pia , leo kapona anaponda wanaomuulizia Azori Gwanda ! Hii ni aibu kubwa sana !
Wanatudhalilisha sana hawa watu.Wanyakyusa mbona hatuko hivyo? Hii tabia ya kujipendekeza huyu mzee kaitoa wapi?
Na aliacha mke mjamzito.Bwana Mwakyembe huyo Azron ana wazazi kama wewe huyo Azron and ndugu kama wewe nipende kukumbusha tuu hakun akitu inauma kama kumpoteza mwanao hujui yuko hai au ni mfu... Nikuambie tuu omba msamaha Azron Gwanda hakutoka kwenye mti ana familia ndugu na marafiki