Utateseka sana,bado.miaka kama saba hivi
Kila hoja unayosimamia u nashindwa wewe tu
Ni wajinga tu na wabinafsi ndio wanaofurahia huu utawala.
Namimi swala la Tanzanite naunga mkono. Mtu kama hatendewi haki na gazeti flani kwanini haendi mahakaman?Badala yake naye anakuja mitandaoni kutoa shutuma zake. Haki inatolewa mahakaman sio kwenye page za social networks.
Amesahau zile sumu alizokulaga kipindi ileipo siku atakuja kupotea yeye.alafu na sisi tutakaa kimya.
Namimi swala la Tanzanite naunga mkono. Mtu kama hatendewi haki na gazeti flani kwanini haendi mahakaman?Badala yake naye anakuja mitandaoni kutoa shutuma zake. Haki inatolewa mahakaman sio kwenye page za social networks.
Serikali haiwezi kudhibitisha kama hiyo habari ni ya kweli au la anayetakiwa kulalamika ni anaejua amechafuliwa na habari za uongo. Serikali inafungia magazeti ambayo yameichafua serikali kwasababu yenyewe ndiyo iliyochafuliwa si mtu...mbona magazeti ambayo ni pro-wapinzani yakikosea SEREKALI inachukua hatua?
..wananchi wanataka SEREKALI ichukue hatua kwa Tanzanite kama ilivyofanya huko nyuma kwa mwanahalisi, na magazeti mengine.
Mbona magazeti mengine yanafungiwa na serikali hayafungiwi na mahakama ! Akili ndogo...Namimi swala la Tanzanite naunga mkono. Mtu kama hatendewi haki na gazeti flani kwanini haendi mahakaman?Badala yake naye anakuja mitandaoni kutoa shutuma zake. Haki inatolewa mahakaman sio kwenye page za social networks.
Huu ni ulevi na kiburi kisicho kipimo. Wanamuulizia Azori kwa sababu anajulikana na anawawakilisha wote waliopotea.Dr Mwakyembe ataka watu waache kuuliza alipo Azory Gwanda.
Na:Maregesi Paul, Dodoma
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amewashangaa watu wanaofuatilia mahali alipo mwandishi wa habari Azori Gwanda.
Dk Mwakyembe ameyasema hayo bungeni leo alipokuwa akihitimisha mjadala wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2019/20.
Amesema kwamba pamoja na kwamba watu wengi wanataka kujua alipo Gwanda lazima waelewe kwamba eneo alilopotelea mwandishi huyo walipotea watu wengi wakiwamo viongozi wa Serikali.
Kutokana na hali hiyo Waziri huyo amesema watu wasiendelee kufuatilia mahali alipo mwandishi huyo kwa kuwa hilo ni suala dhaifu.
Dk Mwakyembe aliyasema hayo bungeni leo alipokuwa alihitimisha mjadala wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2018/20.
“ Pamoja na hayo Serikali itaendelea kudhibiti watu wanaokiuka utoaji wa maoni kwa kuwa hakuna uhuru usiokuwa na mipaka,”amesema Dk Mwakyembe.
Katika hatua nyingine Waziri huyo amewataka watu wanaokashifiwa na magazeti wakalalamike mahakamani kwa kuwa ndiko haki inakopatikana.
Source:Mtanzania Online
Wewe ndio unaakili ndogo. Zito ni serikali?Mbona magazeti mengine yanafungiwa na serikali hayafungiwi na mahakama ! Akili ndogo...
Dr Mwakyembe ataka watu waache kuuliza alipo Azory Gwanda.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amewashangaa watu wanaofuatilia mahali alipo mwandishi wa habari Azori Gwanda.
Dk Mwakyembe ameyasema hayo bungeni leo alipokuwa akihitimisha mjadala wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2019/20.
Amesema kwamba pamoja na kwamba watu wengi wanataka kujua alipo Gwanda lazima waelewe kwamba eneo alilopotelea mwandishi huyo walipotea watu wengi wakiwamo viongozi wa Serikali.
Kutokana na hali hiyo Waziri huyo amesema watu wasiendelee kufuatilia mahali alipo mwandishi huyo kwa kuwa hilo ni suala dhaifu.
Dk Mwakyembe aliyasema hayo bungeni leo alipokuwa alihitimisha mjadala wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2018/20.
“ Pamoja na hayo Serikali itaendelea kudhibiti watu wanaokiuka utoaji wa maoni kwa kuwa hakuna uhuru usiokuwa na mipaka,”amesema Dk Mwakyembe.
Katika hatua nyingine Waziri huyo amewataka watu wanaokashifiwa na magazeti wakalalamike mahakamani kwa kuwa ndiko haki inakopatikana.
Source: Mtanzania Online