The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,342
- 4,614
Dah....Mwakyembe umezid kwa kujipendekeza. Akiamungu mii ningekuwa Raic ningekupga chin. Wewe ni mnafika hatare.
eti huyu naye ni PhD.
pole sana Mwalimu (JKN), ulitupa ela yako bure chooni kwa kusomesha watu wa aina hii!!
Kwakweli Bora tumefungwa maana kuna watu tayari walishaandaa na tisheti za kumpongeza magufuli badala ya wachezaji , Mungu sio mama yake mwinyi zahera bhana Lesotho wakatupigaaaShida chama kilikuwa kimejiandaa kuutumia ushindi kisiasa na kupeleka sifa kwa jamaa kama kete ya kisiasa. Mungu ni wa ajabu sana; huuona mwisho tangu mwanzo!
kwa kweli!!!Hii hela Bora angenunulia kondomu
Unaweza kuongea kama hayo? Kama huwez means hufaiKwa stail hii, hata Mimi uwaziri nafaa kabisa kutunukiwa