Mwakyembe: Milioni 50 za Rais Magufuli zimechangia Tanzania kufungwa goli 1.

Mwakyembe: Milioni 50 za Rais Magufuli zimechangia Tanzania kufungwa goli 1.

Mimi huwa sionagi maana kabisa kwa kiongozi mkubwa kugawa pesa hadharani au majukwaani?

Unakutana na mwananchi moja anatatizo unamgawia hela pale pale lakini ukiondoka hutoi maagizo au hata ushauri wa namna gani unaweza kuwasaidia watu wengine wenye matatizo sawa na yule uliye mpa cash

Kikwete alipoamua kumlipa Maximo wakati huo niliona ni jambo la maana kuliko maigizo ya akina Mwakyembe
 
Dah....Mwakyembe umezid kwa kujipendekeza. Akiamungu mii ningekuwa Raic ningekupga chin. Wewe ni mnafika hatare.


Sijawahi kukutana na mnyakyusa anayejua kujipendekeza kama huyu.

Mtani wangu Prof. Mwandosya, huyu ndugu yako ni mnyakyusa wa wapi, mbona wewe hauko hivyo? RIP mzee wangu Jaji Yona Mwakasendo.
 
Shida chama kilikuwa kimejiandaa kuutumia ushindi kisiasa na kupeleka sifa kwa jamaa kama kete ya kisiasa. Mungu ni wa ajabu sana; huuona mwisho tangu mwanzo!
Kwakweli Bora tumefungwa maana kuna watu tayari walishaandaa na tisheti za kumpongeza magufuli badala ya wachezaji , Mungu sio mama yake mwinyi zahera bhana Lesotho wakatupigaaa
 
Back
Top Bottom