Profesa
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 905
- 624
"...Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete anapenda kutoa mwaliko kwa makundi mbalimbali kwa ajili ya kuwasilisha orodha ya watu wasiopungua wanne na waziozidi tisa kwa ajili ya kuteuliwa kuwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (2A) cha kifungu cha 22 cha sheria ya Mabadiliko ya Katiba, sura ya 83 kinachomtaka Rais kuwaalika kila kundi lililoainishwa chini ya kifungu kidogo cha (1) (c) kutoka pande zote za Muungano kuwasilisha kwake orodha ya majina yasiyopungua 4 na yasiozidi 9 kwa ajili ya kuzingatiwa katika uteuzi...". Tangazo la Serikali Na. 443 limechapishwa tarehe 13/12/2013, na kama Linavyoonekana katika Daily News la Jumatatu Tarehe 23 Disemba, 2013.
Kwa taarifa zaidi soma hapa: THE GOVERNMENT OFFICIAL BLOG: Mwaliko wa Makundi mbalimbali kupendekeza majina ya watakaoteuliwa Wajumbe wa Bunge la Katiba
Kwa taarifa zaidi soma hapa: THE GOVERNMENT OFFICIAL BLOG: Mwaliko wa Makundi mbalimbali kupendekeza majina ya watakaoteuliwa Wajumbe wa Bunge la Katiba