Mwaliko kwa makundi mbalimbali kuwasilisha orodha ya watu kuteuliwa Bunge la katiba

Mwaliko kwa makundi mbalimbali kuwasilisha orodha ya watu kuteuliwa Bunge la katiba

Kwani Le Mutz ameshatoka China kumdhamini Jack? Let's be serious bwana!
 
MziziMkavu awakilishe Afya
Mchambuzi,na Mwanakijiji siasa
Kaunga kiranga na Dr khaatan imani
Mtambuzi na Madame B Kule MMU
FaizaFoxy kiungo anafit note
 
Kama tukipewa hiyo nafasi basi ningependekeza majina mawili

Mwanakijiji na pasco,

Ni maoni yangu tu, ila kama pasco akiwa anaumwa The big Show na ng'wamapalala watafaa kuchukua nafasi yake

Pendekezo lako lina mwelekeo kidogo. Hakuna mashaka kwa Mwanakijiji, Pasco au Ng'wapalala kuwakilisha JF ila The big Show hafai hata kujiwakilisha mwenyewe. Ni nina mashaka makubwa na uelewa wake, amejipambanua kama mtu mdini badala ya kusimamia misingi ya kitaifa. Kuliko The big Show ni heri ungempendekeza FaizaFoxy kabsaaaaa.
 
Jukwaa hili halina hadhi ya kuwakilishwa coz linahongwa na magamba na limekuwa uwanja wa matusi toka lumumba.
 
kuna nafasi za diaspora, Mwanakijiji, Mzizimkavu na wengineo changamkieni hizi
 
kwa maoni yangu nawapendekeza wafuatao:
nguruvi3
mchambuzi
jasusi
emt
fjm
kiranga
mkandara
nasdaz
dada FF
 
matumbo nafikiri anatufaa sana..ni kichwa uyu jamaa.
 
Last edited by a moderator:
The big show lbd awakilishe kile kikund cha UAMSHO ,maana roho ya udin hana tofaut na alshabab
 
awe active member anaetumia verified ID na amechangia na kuanzisha thread Mara nyingi zaidi ya wote
 
Back
Top Bottom