gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
mimi gogo la shamba naiomba hiyo nafasi, Nitashukuru sana kama nitaipata nahahidi kuwa muwakilishi makiniWana Jukwaa salams.
Nimesikia jana Waziri wa katiba na Sheria Mh. Chikawe akikumbushia tangazo la serikali ili taasisi na Majukwaa mbalimbali kutuma majina ya wawakilishi kuanzia 4 na wasiozidi 9(kama sijakosea).Sasa je? JF haiko eligible kutuma wawakilishi na je kama ndio nani atuwakilishe?
Naomba kuwasilisha.