Mwaliko toka kwa miss chitchat

Huu mualiko umekaa kisanii ! Boshen tupu!
Mualiko gani hautaji venue!
Where being held!
So far tutafaidije mikura tuliokupa?[/QUOTEfar

Haya bana, wenye kunielewa wamekuja tuna enjoy tu hapa.
 
Uliniahidi utaniletea chriss brown aniburudishe, vipi nitamkuta huko?
 
Bibie Madame B hujambo?
 
Last edited by a moderator:
Ya wapi? Naomba uweke picha ya hao walio jumuika hapo na nihamasike maana niko hapa mwenge !

Hahaaaaa......ili mtujue nyie mliogoma....thubutuuuuuuu.....ni ya mlimani city.
 
Sijambo Kipenzi Changu.
Nasumbuliwa na Mafua tu hapa.
Ningelikuwa karibu ningelikutibu tumia limau kwenye maji ya uvuguvugu itakusaidia usitie sukari kamua limau moja kwenye maji ya uvuguvugu na pia kula kipande cha kitunguu samu kimoja kimeze itakusaidia pia pole sana bibie Madame B Umepata mafua sababu ya vumbi la Dares-Salaam? huku niliko baridi inaanza natami uwepo uwe blanketi wangu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…