Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaaaaa.......lakini wenzio tunaenjoy kinoma.
Hahahaaaaaaaaaaaaaaa! Njoo hapa samaki samaki!
Namsubiri Arushaone aseme hapa.
Bibie Madame B hujambo?Asante sana Miss unaemaliza muda wako Miss CC Remmy.
Pia napenda kuchukua fursa hii kukupongeza kwa kuwa na moyo wa kuisaidia jamii ya Uamsho wa CC.
Nami naahidi endapo nitashinda hilo Taji la Miss CC October nitatimiza ahadi zangu zote nilizoahidi kwa Wake na kwa Waume.
Nikianza na Wanaume niliahidi kuwatafutia Wachumba kutoka nchi mbalimbali Duniani.
Na Wanawake niliahidi kuwashonea Suti za Kanga Kavu na lemba lake.
Sasa ili kutimiza ahadi yangu naomba nianze na Wanaume.
Naomba tukutane pale viwanja vya Jangwani kwenye Mkutano wa Muhubiri C. Mwakasege kwani kuna Hilo somo la Kupata Mke mwema.
Na wanawake tukutane pale Mariedo Boutique Posta ya Zamani ili mje kuchukua Suti zenu.
Asanteni kwa kunisikiliza na pia nawatakia Uchaguzi mwema wa mchakato wa kumtafuta Miss ChitChat October hapa JF.
Chini ya usimamizi wa Anko Fataki Ruhazwe JR na kundi la Masharobaro wa CC likiongozwa na Msiri wangu St. Paka Mweusi na figganigga wangu
Na Masister duu wa Ukwenhe wakiongozwa na mdogo wangu Kipenzi beibe nasty.
Na Mabrother duu wa ukwenhe wakiongozwa na Aliekuwa mwanafunzi wangu Kaizer.
Na Wamama duu wa Ukwenhe wakiongozwa na Aliyewahi kuwa Mama Mkwe wangu Mamndenyi.
Madaktari akina MziziMkavu, Mapadri akina Saint Ivuga,
Washauri akina Mtambuzi,
Wanywaji akina Asprin,
Mashosti akina charminglady,
Watoa stress akina Kimbweka na Watoa 'Kifimbo cheza' akina Mamods (hapa sitomtaja mtu kwani wote wanahusika ktk kulisongesha Gurudumu) na Active.
TUKO PAMOKO Kama Koki na Bomba au Kama Ua na Nyuki.
Namsubiri Arushaone aseme hapa.
aseme nini wakati hana ubavu!
Msemo huo huwa unanikumbushaga mbali saaaana.
mmmmm......Mimi simo naogopa ushahidi mie....!
Ningelikuwa karibu ningelikutibu tumia limau kwenye maji ya uvuguvugu itakusaidia usitie sukari kamua limau moja kwenye maji ya uvuguvugu na pia kula kipande cha kitunguu samu kimoja kimeze itakusaidia pia pole sana bibie Madame B Umepata mafua sababu ya vumbi la Dares-Salaam? huku niliko baridi inaanza natami uwepo uwe blanketi wangu.Sijambo Kipenzi Changu.
Nasumbuliwa na Mafua tu hapa.