Mwaliko toka kwa miss chitchat

Mwaliko toka kwa miss chitchat

Remmy

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2009
Posts
4,701
Reaction score
1,803
Wapenzi wanachitchat, salamu katika bwana!
Yule miss wenu wa mwezi septemba ndio anakamilisha muda wake, hivi karibuni atakabidhi taji kwa mwingine Kama sio Madame B.
Ikumbukwe kuwa wakati anaomba ushindi alitoa ahadi zake, hivyo basi ameona vyema asiwe Kama magamba wa kutoa ahadi hewa....anawaalika kesho mishale ya saa Tisa alasiri ili atimize zile ahadi zake. Kwa wale wote wa dar mnakaribishwa sana, utakuwa muda muafaka pia wa kukutana na kufahamiana.
With love
Miss chitchat septemba.
 
hongera zako ingiza vocha namba hii kwa ajili ya kuanza maisha mapya ya nje ya umiss 2586 8521 5426 5284 556 ni tigo hiyo..
 
Na hilo taji lisije likiwa limechakachuliwa. Anko Lundenga wa huku kuna alama aliweka isije futika, Remmy si unajua hilo ni TANZANITE tupu?
Hongera mwaya na jiandae kumkabidhi Madame B tarehe 30 September
 
Last edited by a moderator:

Hahaaaaa......taji liko swafi kabisa Kama nilivyokabidhiwa.
 
Last edited by a moderator:
Akhsante sana Remmy kila la kheri. Ntahakikisha nalitunza mwenyewe kwa niaba ya Madame B my love.
 
Last edited by a moderator:
huo mwaliko utafanyika pande zipi Remmy?
 
Last edited by a moderator:
Thankyou, thankyou, thankyou.
Ila Anko Lundenga sijui kakimbilia wapi yule mtu.
Hzbnd Arushaone na Remmy nisaidieni kumtafuta jamani.
 
Last edited by a moderator:
Wapenzi wanachitchat, salamu katika bwana!
Yule miss wenu wa mwezi septemba ndio anakamilisha muda wake, hivi karibuni atakabidhi taji kwa mwingine Kama sio Madame B.
Ikumbukwe kuwa wakati anaomba ushindi alitoa ahadi zake, hivyo basi ameona vyema asiwe Kama magamba wa kutoa ahadi hewa....anawaalika kesho mishale ya saa Tisa alasiri ili atimize zile ahadi zake. Kwa wale wote wa dar mnakaribishwa sana, utakuwa muda muafaka pia wa kukutana na kufahamiana.
With love
Miss chitchat septemba.

Asante sana Miss unaemaliza muda wako Miss CC Remmy.
Pia napenda kuchukua fursa hii kukupongeza kwa kuwa na moyo wa kuisaidia jamii ya Uamsho wa CC.
Nami naahidi endapo nitashinda hilo Taji la Miss CC October nitatimiza ahadi zangu zote nilizoahidi kwa Wake na kwa Waume.

Nikianza na Wanaume niliahidi kuwatafutia Wachumba kutoka nchi mbalimbali Duniani.
Na Wanawake niliahidi kuwashonea Suti za Kanga Kavu na lemba lake.
Sasa ili kutimiza ahadi yangu naomba nianze na Wanaume.
Naomba tukutane pale viwanja vya Jangwani kwenye Mkutano wa Muhubiri C. Mwakasege kwani kuna Hilo somo la Kupata Mke mwema.

Na wanawake tukutane pale Mariedo Boutique Posta ya Zamani ili mje kuchukua Suti zenu.

Asanteni kwa kunisikiliza na pia nawatakia Uchaguzi mwema wa mchakato wa kumtafuta Miss ChitChat October hapa JF.
Chini ya usimamizi wa Anko Fataki Ruhazwe JR na kundi la Masharobaro wa CC likiongozwa na Msiri wangu St. Paka Mweusi na figganigga wangu

Na Masister duu wa Ukwenhe wakiongozwa na mdogo wangu Kipenzi beibe nasty.

Na Mabrother duu wa ukwenhe wakiongozwa na Aliekuwa mwanafunzi wangu Kaizer.

Na Wamama duu wa Ukwenhe wakiongozwa na Aliyewahi kuwa Mama Mkwe wangu Mamndenyi.

Madaktari akina MziziMkavu, Mapadri akina Saint Ivuga,
Washauri akina Mtambuzi,
Wanywaji akina Asprin,
Mashosti akina charminglady,
Watoa stress akina Kimbweka na Watoa 'Kifimbo cheza' akina Mamods (hapa sitomtaja mtu kwani wote wanahusika ktk kulisongesha Gurudumu) na Active.

TUKO PAMOKO Kama Koki na Bomba au Kama Ua na Nyuki.
 
Last edited by a moderator:
Simple evidence would support your words!

Hajatoa ahadi bhana sisi ndio tumetoa ahadi. Halafu wewe ruttashobolwa yule mkeo wa jukwaa la siasa akija huku utapewa talaka. Au nimpe link ya huku CC?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom