Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Harry alimwalika William na mkewe pamoja na watoto wake katika tafrija ya siku ya kuzaliwa kwa mtoto Lili lakini William na familia yake hawakutokea kabisa. Inaelekea bado kuna mvutani kwenye hiyo familia ya kifalme.
Harry na mkewe ilibidi warudi US siku ya Jumapili baada ya kuhudhuria sherehe ya Malkia nako waliwekwa kwenye sehemu ya watu wenye status ya pili siyo kama ilivyokuwa zamani alipokuwa anakaa pembeni ya kaka yake.
Huyu kijana siku Meghan akimwacha atahitaji maombk ya Ngwajima ili asije jimurder