Hakuna kitu inawauma waingereza kama hiyo,
Hapo Maana yake Prince George siku moja akiwa mfalme,atakuwa na cousins wenye asili nyeusi,
Kwani hata Diana alichotaka kufanya kwa william,half brothers au sisters wangekuwa waarabu,wakamuondolea mbali..
Alafu Mambo mengine huwa hayafanywi na hao direct,ni member wa crown,wanalinda ile asili yao kuliko mboni ya jicho..
Na hivi william ana watoto kibao sasa hata line succession ya harry haipo tena,ndio maana wanamchukulia poa tu,
Nina uhakika mwisho wa harry hautokuwa mzuri,madada wa kimarekani ni wehu,
Toka hapo huyo meghan n kama hamtambui baba yake kumzaa,analialia tu kila siku kwenye media