Mwaliko wa Harry kwenda kwa familia ya William wapotezewa

Mwaliko wa Harry kwenda kwa familia ya William wapotezewa

Harry haipi shida familia ya kifalme na umuhimu wake tusiukuze kupitiliza. Baba mkubwa wake Elizabeth II, Edward VIII alipopata ufalme akataka kuoa mke aliyeachwa mara mbili Mmarekani, kanisa la Anglican la Uingereza na bunge wakamkatalia na kumshauri kama anataka hivyo ajiuzuru na akaachia kiti na alifanya ziara mara kwa mara Paris. Baba yake Elizabeth II ndio akatawazwa kuwa mfalme. Sasa huyu Harry atatisha nini.

Edward VIII alifurahia maisha yake ya nje ya familia ila sina imani kama Harry ataendelea kufurahia. Ukoo wa kifalme uko strict ndio maana unaendelea kuwepo, bila hivyo wangekwishapotea siku nyingi na ufalme ungekuwa bloodline nyingine. Hata Japan wana ukoo wa Emperor una miaka mingi sana nao wana sheria kali zaidi. Sisi wamatumbi ndio tunajikuta tunajiendea kiholela ndio maana bilionea anakufa leo baada ya miaka miwili mali zote zinauzwa watoto wanakuwa maskini
 
Ukimwangalia vizuri Harry utagundua kwamba kuna uwezekano mkubwa ni mtoto wa nje
 
Ningekuwa mimi ndio harry nisngekuwa naenda huko uingereza

Nibgejikita kwenye biashara kwa hasira zote hadi nifikie levo ya kuwa bilionea na maana jamaa ana connection na mtaii anao sana

Why kujifaragua kwa wasiokupenda

Ningekomaa na familia yangu mwenyewe niliyoitengeneza

Ningehakikisha nakuwa na hela ndefu na umaarufu wangu haushuki mbona wangemtafuta wenyewe
Unaijua vizuri royal family wewe[emoji23][emoji23][emoji23] wamtafute kuwa wana shida na pesa au[emoji23][emoji23]
 
Bibi ana roho mbaya sana Ndio maana hata watoto wake aliowazaa ndoa zao ziliharibika
Anaingilia sana maisha yao especially wakiwa mezani wanakula pamoja
Haya ni maneno ya watu waliofanya kazi Buckingham palace na pia waliokuwa karibu na kina Diana na Sarah Ferguson
Hao ndugu wanne Charles,Anna, Edward na Andrew angalia maisha yao

Queen Mother ndio alikuwa mzuri sana kwa tabia na msikivu sana na yeye ndio alikuwa anawaweka pamoja ila mwanae Malkia ndio vurugu
Hana tofauti na vibibi vya Kibongo.
 
Bibi ana roho mbaya sana Ndio maana hata watoto wake aliowazaa ndoa zao ziliharibika
Anaingilia sana maisha yao especially wakiwa mezani wanakula pamoja
Haya ni maneno ya watu waliofanya kazi Buckingham palace na pia waliokuwa karibu na kina Diana na Sarah Ferguson
Hao ndugu wanne Charles,Anna, Edward na Andrew angalia maisha yao

Queen Mother ndio alikuwa mzuri sana kwa tabia na msikivu sana na yeye ndio alikuwa anawaweka pamoja ila mwanae Malkia ndio vurugu
Ongezea nyama mkuu...kivip yaan
 
Ubaguzi ni mwingi sana dunia hii
Di alitembea na Major Hewitt aliekuwa anamfundisha kupanda farasi
Akatembea na Dr yule mpakistani Hasnat Khan
Akaja kutembea na millionaire la Kimarekani la machinbo ya mafuta
Ndio akaja kumpata Dodi Al Fayed

Di alipoona anaandamwa kila kona ndio akaamua kusema ya moyoni kuwa hivi karibuni atatangaza kitu ambacho dunia nzima watashangaa

Dunia hii ina ubaguzi sana hata maandishi na matamko tu yanaonyesha racism haitaisha duniani
Alitaka kuitangazia nini dunia Diana?
 
Alitaka kuitangazia nini dunia Diana?

Imasemekana alikuwa na mimba ya Dodi Ndio maana wakamuuwa
Alikuwa tayari kuiambia dunia kwa hasira
Waandishi walipowashutumu sana kwa mauwaji
Queen alitoka hadharani na kutoa karipia kubwa mpaka tukashangaa
 
Karibu Dear...
Unakumbuka ile 2018 Harusi ya Harry? Wewe na Humble African kwenye ule uzi sijui hata uko wapi jamani...

Mkatufanya tujikute Buckigham bila kufika[emoji2]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16] siku zinakimbia jamani juzi tu hapa[emoji848]

Mara paap mkahamia Sandringham [emoji1732][emoji1732][emoji1787]
 
Back
Top Bottom