T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Harry haipi shida familia ya kifalme na umuhimu wake tusiukuze kupitiliza. Baba mkubwa wake Elizabeth II, Edward VIII alipopata ufalme akataka kuoa mke aliyeachwa mara mbili Mmarekani, kanisa la Anglican la Uingereza na bunge wakamkatalia na kumshauri kama anataka hivyo ajiuzuru na akaachia kiti na alifanya ziara mara kwa mara Paris. Baba yake Elizabeth II ndio akatawazwa kuwa mfalme. Sasa huyu Harry atatisha nini.
Edward VIII alifurahia maisha yake ya nje ya familia ila sina imani kama Harry ataendelea kufurahia. Ukoo wa kifalme uko strict ndio maana unaendelea kuwepo, bila hivyo wangekwishapotea siku nyingi na ufalme ungekuwa bloodline nyingine. Hata Japan wana ukoo wa Emperor una miaka mingi sana nao wana sheria kali zaidi. Sisi wamatumbi ndio tunajikuta tunajiendea kiholela ndio maana bilionea anakufa leo baada ya miaka miwili mali zote zinauzwa watoto wanakuwa maskini