Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,174
- 3,804
Kwahiyo unafuta ile kauli yako kuwa wanao ibusu pete ya Pope ni viongozi wakatoliki tuu, Sawa.Ni uungwana tuu!.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo unafuta ile kauli yako kuwa wanao ibusu pete ya Pope ni viongozi wakatoliki tuu, Sawa.Ni uungwana tuu!.
P
Mnyama wa ufunuoRoma ikisema dunia imesema
Hujui ulisemalo hivi kati na wewe na jamaa unadhani nani ameongea ukweli ni huyo jamaa ila ww kwakua uko gizani vitu vingi umefumbwa hata hujui kama marais wote hasa africa ni wadogo kuliko pape??
Acha uongo kama yuko karibu na Mungu labda mungu wenu wa wazungu na warabu lakini sio Mungu Muumbaji wa vyote nakataa mpka nakufa na ushahidi ninao.Papa ndiye kiongozi wa dini aliyekaribu na Mungu
Wewe unaakili sanaduh! Kule wanaenda wakuu wote wa mataifa ya dunia, ukijitia mjanja huendi, utaenda kwa magoti. Ile ni dola kuu ya urumi duniani bado ina nguvu zake hakuna mtawala wa dunia hii anayefua dafu mbele yake
Nakupa 100%Mungu gani? Acha kufuru wewe...Mungu yupo karibu na Kila roho iliyomkubali bila kujali status
Hujui unachoongea siku ukijua utajua.When in Rome, do as the Romans does!. Mama Samia will bow down, wanaoibusu pete ya Pontiff ni viongozi Wakatoliki pekee!..
Vatican haijihusishi kabisa na siasa za nchi yoyote, ule waraka wa TEC, mwisho wake ni Kurasini!.
P
Nafurahi kuona kuna vichwa humu viko na siri nyingi za dunia.Ndugu kama umeandika haya pasi na kujua basi Mungu akurehemu,Lakini kama unafanya kwa Makusudi unaonyokubwa juu yako.Papa kavalishwa hicho cheo kinyume kabisa na neno la Mungu Tena cheo hicho kimeshiba damu za watu wengi sana........
AiseeeeVatican haijihusishi kabisa na siasa za nchi yoyote, ule waraka wa TEC, mwisho wake ni Kurasini!.
Mosi,. Samia sio kiongozi wa kwanza Muislamu kuzuru Vatican tafiti wengine walifanyaje.Mwaliko uliombwa na Hayati Rais John Magufuli ulikubaliwa mwaka 2019 wakati wa COVID 19 ikashindikana Papa kuja Tanzania wala Rais Magufuli kwenda Vatican,
Nani aende Vatican baada ya kuondoka kwa Rais Magufuli!? jibu ni Mama,Je atakwenda kujifunza injili ya Bwana wetu Yesu kristo!? Je ataibusu Pete ya Papa pale watakapokutana!? Je atakwenda kuutetea vipi mkataba wa Dp World ambao umeingiwa na hauwezi kuvunjika!?
Kwa doctrine ya TEC na majasusi wa Kanisa, Vatican ina majibu yote juu ya Tanzania,watataka kusikia majibu ya Mama na wao kufanya maamuzi yao! Diplomasia ipo kwenye Kipimo.
Hayo ni maneno tu mkuu usiyachukulie serious kiasi hiki.Ndiyo Mungu wa Dunia hii ..Siku Mimi nikiwa kiongozi nitavunja hizo protocol tuone atanifanya nini
Na wewe umefanya kusudi kuandika mikono ya Papa imeshiba DAMU wakati ushahidi huna.Ndugu kama umeandika haya pasi na kujua basi Mungu akurehemu,Lakini kama unafanya kwa Makusudi unaonyokubwa juu yako.Papa kavalishwa hicho cheo kinyume kabisa na neno la Mungu Tena cheo hicho kimeshiba damu za watu wengi sana........
ndio maana unajiita kibobori? unafanya tafsiri sisisi kuwa jesuit ni majasusi. kitu ambacho sio sahihi fuatilia soma uliza utajiona upo uchi kimaarifa. Jesuits ni shirika kama yalivyo mashirika mengine ya kitume mathalani White Fathers, Holy ghost fathers, Kapuchin, Benedictin etc etc.Jesuits wanatafakari kwa makini, hao ndio Vatican yenyewe.
Wengi sana Kwakweli.Hii nchi ina wagonjwa wengi wa akili.
Mungu wa ulimwengu huu IbilisiPapa ndiye kiongozi wa dini aliyekaribu na Mungu
Uungwana kusujuduNi uungwana tuu!.
P
New world order crooks of Vatican, Mama, hayupo salama, I wish tungekuwa na, majasusi wabobezi kama Brigadier Hashim Mbita, pale TISS, wakamsindikiza Mama, tatizo pale makumbusho, pamejaa mabishoo tu, wanajua kunywa bia, kununua IST, na kukimbiza magari na vingora!Mwaliko uliombwa na Hayati Rais John Magufuli ulikubaliwa mwaka 2019 wakati wa COVID 19 ikashindikana Papa kuja Tanzania wala Rais Magufuli kwenda Vatican,
Nani aende Vatican baada ya kuondoka kwa Rais Magufuli!? jibu ni Mama. Je atakwenda kujifunza injili ya Bwana wetu Yesu kristo!? Je ataibusu Pete ya Papa pale watakapokutana!? Je atakwenda kuutetea vipi mkataba wa DP World ambao umeingiwa na hauwezi kuvunjika!?
Kwa doctrine ya TEC na majasusi wa Kanisa, Vatican ina majibu yote juu ya Tanzania, watataka kusikia majibu ya Mama na wao kufanya maamuzi yao! Diplomasia ipo kwenye Kipimo.