Mwaliko wa Vatican: Je, Mama kumsujudia Papa kwa kuibusu pete yake?

Mwaliko wa Vatican: Je, Mama kumsujudia Papa kwa kuibusu pete yake?

Mwaliko uliombwa na Hayati Rais John Magufuli ulikubaliwa mwaka 2019 wakati wa COVID 19 ikashindikana Papa kuja Tanzania wala Rais Magufuli kwenda Vatican,

Nani aende Vatican baada ya kuondoka kwa Rais Magufuli!? jibu ni Mama. Je atakwenda kujifunza injili ya Bwana wetu Yesu kristo!? Je ataibusu Pete ya Papa pale watakapokutana!? Je atakwenda kuutetea vipi mkataba wa DP World ambao umeingiwa na hauwezi kuvunjika!?

Kwa doctrine ya TEC na majasusi wa Kanisa, Vatican ina majibu yote juu ya Tanzania, watataka kusikia majibu ya Mama na wao kufanya maamuzi yao! Diplomasia ipo kwenye Kipimo.
Kwa doctrine ya TEC na majasusi wa Kanisa, Vatican ina majibu yote juu ya Tanzania, watataka kusikia majibu ya Mama na wao kufanya maamuzi yao! Diplomasia ipo kwenye Kipimo.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaliko uliombwa na Hayati Rais John Magufuli ulikubaliwa mwaka 2019 wakati wa COVID 19 ikashindikana Papa kuja Tanzania wala Rais Magufuli kwenda Vatican,

Nani aende Vatican baada ya kuondoka kwa Rais Magufuli!? jibu ni Mama. Je atakwenda kujifunza injili ya Bwana wetu Yesu kristo!? Je ataibusu Pete ya Papa pale watakapokutana!? Je atakwenda kuutetea vipi mkataba wa DP World ambao umeingiwa na hauwezi kuvunjika!?

Kwa doctrine ya TEC na majasusi wa Kanisa, Vatican ina majibu yote juu ya Tanzania, watataka kusikia majibu ya Mama na wao kufanya maamuzi yao! Diplomasia ipo kwenye Kipimo.
Kama mentor wake Kikwete kissed the ring, who is mama Abdul not to kiss the ring?
 
New world order crooks of Vatican, Mama, hayupo salama, I wish tungekuwa na, majasusi wabobezi kama Brigadier Hashim Mbita, pale TISS, wakamsindikiza Mama, tatizo pale makumbusho, pamejaa mabishoo tu, wanajua kunywa bia, kununua IST, na kukimbiza magari na vingora!
Wale vijana wana akili ndogo Sana, wakimpeleka boss wao nyumbani jioni,kwa, speed na vingora wakikwepa foreni za, dar, wanaona wame accomplish jambo LA maaana Sana.
Acha uongo Wewe maremu Hashim Mbita hakuwa jasusi! He was a seasoned freedom fighter and diplomat.
 
Mama akienda huko Vatican, bas papa amuambie wazi kuwa akija huku atangaze rasmi, kuwa USHOGA na ndoa zake ni halali, pia akazie kwenye kuwabariki huko makanisani.

Hapo papa atakua kaupiga mwingi mnoo had unadondokaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Je, atakwenda kujifunza injili ya Bwana wetu Yesu Kristo!? Je, ataibusu Pete ya Papa pale watakapokutana? Je, atakwenda kuutetea vipi mkataba wa DP World ambao umeingiwa na hauwezi kuvunjika?
Ukikuta watu wanaabudu Milima na Mti wa mpingo, wewe cheka na peana nao mikono. Ukijua kuwa kesho mpingo utawaka moto na pete zitapotea. Ya nini ubishane na vitu?
 
When in Rome, do as the Romans does!. Mama Samia will bow down, wanaoibusu pete ya Pontiff ni viongozi Wakatoliki pekee!..
Vatican haijihusishi kabisa na siasa za nchi yoyote, ule waraka wa TEC, mwisho wake ni Kurasini!.
P
Sio kweli, unadhani kazi ya balozi wa Vatican kila nchi kazi yake ni nini? Kuna ujumbe maalum atakabidhiwa mama na ni ujumbe wa siri na mama akirudi kutakuwa na mabadiriko katka utawala wake.
 
Acha uongo kama yuko karibu na Mungu labda mungu wenu wa wazungu na warabu lakini sio Mungu Muumbaji wa vyote nakataa mpka nakufa na ushahidi ninao.
Lete ushahidi huo
 
Sio kweli, unadhani kazi ya balozi wa Vatican kila nchi kazi yake ni nini? Kuna ujumbe maalum atakabidhiwa mama na ni ujumbe wa siri na mama akirudi kutakuwa na mabadiriko katka utawala wake.
This is sensitive info ambazo sisi watu wa kawaida hatuzijui, hata hizo za Balozi wa Vatican kila nchi, na jumbe za siri, ndio leo nazisikia kwako, ila kitu ninachojua kwa sisi Tanzania, rais wa Tanzania akiwa ni Mkristo, then ni lazima awe Mkatoliki!. Sijui ni nani aliyepanga utaratibu huu ila niliposikia nilishangaa, nikapandisha bandiko humu la kuuliza why, bandiko lile lilifutwa fasta!.

Ile 2014 nikapandisha bandiko hili Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli kuna kitu nikataka kukisema!.
P
 
Mama akienda huko Vatican, bas papa amuambie wazi kuwa akija huku atangaze rasmi, kuwa USHOGA na ndoa zake ni halali, pia akazie kwenye kuwabariki huko makanisani.

Hapo papa atakua kaupiga mwingi mnoo had unadondokaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
umesemaaaa?
 
Wewe ni lofa na mwenzio BICHWA KOMWE [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom