Mwalim Alex Kashasha, mtaalamu maahiri wa Soka asiyeonekana

Mwalim Alex Kashasha, mtaalamu maahiri wa Soka asiyeonekana

Binafsi namkubali sana Mwl Kashasha anavyouchambua mpira. Amesomea wapi mambo ya soccer au ni kipaji tu Mungu amempa.
 
View attachment 432180
Huyu mwalimu ni mchambuzi mzuri sana wa soka kupitia TBC 1, haswa wakati wa matangazo ya Mpira.

Ukimsikiliza utashawishika kuwa hakika anaujua mpira, mbinu za mpira na saikolojia yake.

Najiuliza vipi serikali na TFF haikioni hiki kipaji?

Hawa ndio wanaofaa kwenye bench la ufundi katika timu zetu, hasa za Taifa.
Tatizo ni mchambuzi wa TBC CM aambayo hata TFF hawaangalii. Mshauri ahame apate exposure
 
Dokta Leakey anaponzwa na mahaba.
Anashindwa kuyaficha mahaba yake juu ya Barcelona.
Kwahili linanifanya nimuone mwalimu Kashasha bora zaidi.
Taarifa mheshimiwa spika. Dk Leakey ni shabiki wa Liverpool na siyo barcelona kama mjumbe anavyotaka kupotosha.

iingie kwenye hansard
 
Taarifa mheshimiwa spika. Dk Leakey ni shabiki wa Liverpool na siyo barcelona kama mjumbe anavyotaka kupotosha.

iingie kwenye hansard
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi kile kibabu huwa kinanikeraaaa.
Majigambo kibao!
Kwani ukiwa shabiki wa Liverpool haiwezekani ukawa wa Barcelona pia?
Mimi mbona ni shabiki wa Arsenal na Madrid?
Anyways...ni mtazamo wangu kutokana na ninavyofahamu uchambuzi wake.
Kiufupi simkubali.
Period
 
Dr leakey is living legend usimfananishe tena na watu wa hovyo hovyo
Leakey kwangu anazidiwa na Edo Kumwembe.
Ila Edo kwa Kashasha anasubiri sana.
Mzee anachambua mpira kwa facts,sitaki kukumbuka graph zake kombe la Dunia.
 
Nifah nieleze sababu ya msingi ya kumchukia babu wa watu zaid ya majigambo uliyosema ambayo hata hivyo unamsingizia
 
Mbona unaquote kisha huandiki chochote mkuu?
 
Leakey kwangu anazidiwa na Edo Kumwembe.
Ila Edo kwa Kashasha anasubiri sana.
Mzee anachambua mpira kwa facts,sitaki kukumbuka graph zake kombe la Dunia.
Aiseee
mahali akiwa dr leakey
edo kumwembe ni msikilizaji tu na akijua umemfananisha atakulaani
kashasha hata mimi haniwezi
 
Aiseee
mahali akiwa dr leakey
edo kumwembe ni msikilizaji tu na akijua umemfananisha atakulaani
kashasha hata mimi haniwezi
Si bora ingekuwa kumfananisha,nasema hiviiiiii
HAMFIKII EDO KUMWEMBE,NINI MWALIMU KASHASHA?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Si bora ingekuwa kumfananisha,nasema hiviiiiii
HAMFIKII EDO KUMWEMBE,NINI MWALIMU KASHASHA?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
kwanza huyo kashasha ashindane na mimi
maana haniwezi
 
Si bora ingekuwa kumfananisha,nasema hiviiiiii
HAMFIKII EDO KUMWEMBE,NINI MWALIMU KASHASHA?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
nataman ungekuwa dem wangu,wifi yako ugomvi eti mie kuiangalia yanga na man,halafu udemdem mwingii,we utakua gangsta kama mie
 
nataman ungekuwa dem wangu,wifi yako ugomvi eti mie kuiangalia yanga na man,halafu udemdem mwingii,we utakua gangsta kama mie
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi sio gangster, ila mpira uko damuni.
Napenda sana.
 
Jamani ifike mahali tujivunie vya kwetu wachambuzi wote hao mliowataja hapo juu wapo vizuri wanazidiana kdg sana, mchambuzi wa soccer kuwa shabiki wa timu yoyote ile sio dhambi coz na yeye ni binadamu ana mapenzi kwa kitu anachokipenda, binafsi Dr Leakey is the best football analyst coz anafuastilia each and every thing about football amabayo wengi wetu hatuwezi hata kama anagoogle!
 
Back
Top Bottom