Mwalim Alex Kashasha, mtaalamu maahiri wa Soka asiyeonekana

Mwalim Alex Kashasha, mtaalamu maahiri wa Soka asiyeonekana

Kashasha ni mchambuzi wa kiwango cha juu sana hata lugha anayotumia huvutia kusikiliza. Dr.Leaky kwa huyu jamaa atasubiri sana.
 
Ananikosha na misemo yake Man on the space, ball on the the space. Hahaha haswaaaaa akielezea haruna niyonzima kapiga half goal block buster
 
Mwalimu Kashasha ni mchambuzi mahiri wa kinagaubaga wa soka anaelezea "technical issues" toka kwenye matangazo ya mpira redio unaweza kufikiri unauona mpira kwenye runinga. Yupo vizuri sana kwenye kuelezea "moves" za wachezaji kwa mmoja mmoja na timu nzima ya kila upande

Dr. Leaky ana mambo yake kwenye soka la kimataifa hususani ulaya ana mashamushamu kwenye upande huo.
 
Huyu jamaa nilimkubar kwenye ile mechi BRAZIL V/S GERMAN mtu alikula week...jamaa aliitabilia mabaya brzl....ni nomaaa....sema hajapata shavu huko majuu
 
Kuna siku nilikuwa namskiliza Kashasha akiwa anachambua wa mechi 1 ya YANGA

Katika ile mechi YANGA walishinda 3. Goli la pili lilikuwa mpira uliorushwa moja kwa moja na kuguswa na kipa tu kisha ukaingia nyavuni. Mwl Kashasha akasifia kuwa lile goli bora kabisa.

Mimi kama msikilizaji sikutegemea Mwl kama Kashasha kusema goli lile ni bora.

Pili yeye kama mchambuzi alipaswa auelimishe umma wa wapenda soka kuwa, magoli kama yale ni uzembe wa kipa, coz ktk soka hatuna magoli ya mkono.

Angeenda mbali zaidi kwa kuifafanua sheria 17 za soka na kuweka bayana tu kwamba, yule kipa alipaswa kuuwacha mpira utinge wavuni na kwa kuwa haujaguswa na mchezaji wa ndani usingekuwa goli kinyume chake akaishia kusifia tu kuwa ni goli bora.

Hapa nilimuona ameshindwa kutofautisha kati ya goli bora na goli la ajabu.

Kwangu Mimi Kashasha ni mchambuzi mzuri, lakini hajafika viwango vya akina Dr. Leaky.
 
View attachment 432180
Huyu mwalimu ni mchambuzi mzuri sana wa soka kupitia TBC 1, haswa wakati wa matangazo ya Mpira.

Ukimsikiliza utashawishika kuwa hakika anaujua mpira, mbinu za mpira na saikolojia yake.

Najiuliza vipi serikali na TFF haikioni hiki kipaji?

Hawa ndio wanaofaa kwenye bench la ufundi katika timu zetu, hasa za Taifa.
Kumbe shida ni TBC mwambie ahame hapo
 
Huyu ni mtaalam wa mpira wa kuongea sio wa kucheza
 
Kuna siku nilikuwa namskiliza Kashasha akiwa anachambua wa mechi 1 ya YANGA

Katika ile mechi YANGA walishinda 3. Goli la pili lilikuwa mpira uliorushwa moja kwa moja na kuguswa na kipa tu kisha ukaingia nyavuni. Mwl Kashasha akasifia kuwa lile goli bora kabisa.

Mimi kama msikilizaji sikutegemea Mwl kama Kashasha kusema goli lile ni bora.

Pili yeye kama mchambuzi alipaswa auelimishe umma wa wapenda soka kuwa, magoli kama yale ni uzembe wa kipa, coz ktk soka hatuna magoli ya mkono.

Angeenda mbali zaidi kwa kuifafanua sheria 17 za soka na kuweka bayana tu kwamba, yule kipa alipaswa kuuwacha mpira utinge wavuni na kwa kuwa haujaguswa na mchezaji wa ndani usingekuwa goli kinyume chake akaishia kusifia tu kuwa ni goli bora.

Hapa nilimuona ameshindwa kutofautisha kati ya goli bora na goli la ajabu.

Kwangu Mimi Kashasha ni mchambuzi mzuri, lakini hajafika viwango vya akina Dr. Leaky.
 
Mtoto mzuri nifah kumbe wapenda mpira.
Sanaaaaa,hata kuucheza najua vilevile.
Namba ninazozimudu uwanjani ni kipa,5,7,9.
Mwalimu wangu wa michezo alipenda kuniita kiraka.[emoji5]
 
Back
Top Bottom