supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Tatizo ni mchambuzi wa TBC CM aambayo hata TFF hawaangalii. Mshauri ahame apate exposureView attachment 432180
Huyu mwalimu ni mchambuzi mzuri sana wa soka kupitia TBC 1, haswa wakati wa matangazo ya Mpira.
Ukimsikiliza utashawishika kuwa hakika anaujua mpira, mbinu za mpira na saikolojia yake.
Najiuliza vipi serikali na TFF haikioni hiki kipaji?
Hawa ndio wanaofaa kwenye bench la ufundi katika timu zetu, hasa za Taifa.
Taarifa mheshimiwa spika. Dk Leakey ni shabiki wa Liverpool na siyo barcelona kama mjumbe anavyotaka kupotosha.Dokta Leakey anaponzwa na mahaba.
Anashindwa kuyaficha mahaba yake juu ya Barcelona.
Kwahili linanifanya nimuone mwalimu Kashasha bora zaidi.
Mechi za UEFA enzi hizo Channel 10,niliacha kumuangalia since then.channeli gani huchambua mechi za Barca?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi kile kibabu huwa kinanikeraaaa.Taarifa mheshimiwa spika. Dk Leakey ni shabiki wa Liverpool na siyo barcelona kama mjumbe anavyotaka kupotosha.
iingie kwenye hansard
Leakey kwangu anazidiwa na Edo Kumwembe.Dr leakey is living legend usimfananishe tena na watu wa hovyo hovyo
Mwl Kashasha yupo vizuri sana ni type ya akina Dr Leaky Abdallah
Mukulu yake Clouds.... hapendi ujingaTatizo ni hiyo Stesheni TBC1 na TBC Taifa anayoifanyia kazi. ....
Haitazamwi au kusikilizwa na Nape, Wadau wa soka, Magufuli, na hata TFF yenyewe
Sasa unadhani ataonekana na nani...
Leakey kwangu anazidiwa na Edo Kumwembe.
Ila Edo kwa Kashasha anasubiri sana.
Mzee anachambua mpira kwa facts,sitaki kukumbuka graph zake kombe la Dunia.
AiseeeLeakey kwangu anazidiwa na Edo Kumwembe.
Ila Edo kwa Kashasha anasubiri sana.
Mzee anachambua mpira kwa facts,sitaki kukumbuka graph zake kombe la Dunia.
Si bora ingekuwa kumfananisha,nasema hiviiiiiiAiseee
mahali akiwa dr leakey
edo kumwembe ni msikilizaji tu na akijua umemfananisha atakulaani
kashasha hata mimi haniwezi
tekno yangu hugoma wakat mwingneMbona unaquote kisha huandiki chochote mkuu?
kwanza huyo kashasha ashindane na mimiSi bora ingekuwa kumfananisha,nasema hiviiiiii
HAMFIKII EDO KUMWEMBE,NINI MWALIMU KASHASHA?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
nataman ungekuwa dem wangu,wifi yako ugomvi eti mie kuiangalia yanga na man,halafu udemdem mwingii,we utakua gangsta kama mieSi bora ingekuwa kumfananisha,nasema hiviiiiii
HAMFIKII EDO KUMWEMBE,NINI MWALIMU KASHASHA?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
this gal loves football...i love her and i will marry herNaunga mkono hoja,namkubali sana mwalimu Kashasha...
Alinikosha sana kwenye kombe la duania mwaka juzi,kiasi mechi ambacho hakuwepo zilikosa msisimko kwangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]nataman ungekuwa dem wangu,wifi yako ugomvi eti mie kuiangalia yanga na man,halafu udemdem mwingii,we utakua gangsta kama mie
ha ha marry me pleaseAwwwwww [emoji87] [emoji87] [emoji87]