Mwalim Alex Kashasha, mtaalamu maahiri wa Soka asiyeonekana

Mwalim Alex Kashasha, mtaalamu maahiri wa Soka asiyeonekana

Huyo sasa ndo mchambuzi achana na hawa wasaka tonge kina Kumwembe.

Kina Kumwembe na genge lake badala ya kuchambua wao wanasimulia. Timu ikishinda mechi tatu mfululizo anaipamba ikiboronga anayameza matamshi yake yote.

Mwalimu Kashasha anaweza sana. Mpira wa Bongo hauna Google kwa sana ila jamaa anauchambua na kuusimulia kwa ajuavyo yeye mwenyewe. Anaujua mpira huyu mwalimu.
Yuko vyema sana.
 
" kitaalamu goli la kwanza kwa bale kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Liverpool tunaliita outrageous overhead kick, ni Mara chache sana kutokea kwa mchezaji kufunga goli la aina ile!
Kwako Enock.
[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwl Kashasha: Ile Foul ya Ramos kitaalam tunaita Hands sprit tecnics.....
 
Alex Kashasha mwalimu wangu wa darasani kabisa huyu .....yupo vizuri kuliko hao wanaojiita wachambuzi mahiri
Anafundisha mpira huu huu au vitu vingine? Maana mzee anajua sana
 
Nimependa tafakuri ya mtaalam huyu wa uchambuz wa soka tena kwa Madaha.naomba cv yake tafadhal
 
Back
Top Bottom