We jamaa yaan kila nikiona post yako lazma niishie kutabasam teh teh teh!! et kama zabaleta.Lipuli Jana imecheza, yaani kipa wa Lipuli ni Zabaleta kabisa
Yuko vyema sana.Huyo sasa ndo mchambuzi achana na hawa wasaka tonge kina Kumwembe.
Kina Kumwembe na genge lake badala ya kuchambua wao wanasimulia. Timu ikishinda mechi tatu mfululizo anaipamba ikiboronga anayameza matamshi yake yote.
Mwalimu Kashasha anaweza sana. Mpira wa Bongo hauna Google kwa sana ila jamaa anauchambua na kuusimulia kwa ajuavyo yeye mwenyewe. Anaujua mpira huyu mwalimu.
[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]" kitaalamu goli la kwanza kwa bale kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Liverpool tunaliita outrageous overhead kick, ni Mara chache sana kutokea kwa mchezaji kufunga goli la aina ile!
Kwako Enock.
Huyu ni mwalimu aliyenifundisha darasani kabisaaaaaa pia alimfundisha huyo jesse johnKumbe kitaaluma ni mwalimu kwel mkuu.
Anafundisha mpira huu huu au vitu vingine? Maana mzee anajua sanaAlex Kashasha mwalimu wangu wa darasani kabisa huyu .....yupo vizuri kuliko hao wanaojiita wachambuzi mahiri
Braza huwez jua labda nataka nimpeleke deuscht velle akaboreshe maishaKuikubali Kazi Yake Inatosha Sana
Mambo Ya Wasifu Huenda Yakawa Kama Watendaji Wa Serikali Ana PhD Halafu......Aibu