Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
Was kwetu huyu tunaenda naye sawaNimekukubali Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Was kwetu huyu tunaenda naye sawaNimekukubali Mkuu
Hahahahaha.. kwako mwl kashasha...Mzee wa dynamic rocket shot yaani kabla ya kupiga alimuangalia kipa yuko off position mshambuliaji akalitengeneza goli katika pembe tatu kisha akaitafuta ile nyuzi 90 ya juu afu akabend kama eagle anavyotanua mikono wakati wa kuruka ili kupata full body balance akapiga shot with full gas at his foot inasemekana shut lilikuwa linasafiri at 300km/s yaani hata kungekuwa na makipa wawili golini wangefungwa tuu na hata kama wangejaribu kurukia mpira wakati wa kurudi chini wangepata stroke au heart attack ndio maana waliruka kiushahidi ili kuondoa lawama.... Kwako jesse
Anaelezea football kwa manjonjo, aisee mbaba nimemkubal sanaDkt.kashasha ni kiboko
We msemaji wa familia yakeHana CV... 😳
Hapana co mwalimu wa PShua ni mwalimu wa shule ya msingi!
Wee mungu anakuona ujue umemquote Dr bila chenga nimecheka Atari afu nazan Dr kasoma physiscs japo o level maan c kwa vpmo vileMzee wa dynamic rocket shot yaani kabla ya kupiga alimuangalia kipa yuko off position mshambuliaji akalitengeneza goli katika pembe tatu kisha akaitafuta ile nyuzi 90 ya juu afu akabend kama eagle anavyotanua mikono wakati wa kuruka ili kupata full body balance akapiga shot with full gas at his foot inasemekana shut lilikuwa linasafiri at 300km/s yaani hata kungekuwa na makipa wawili golini wangefungwa tuu na hata kama wangejaribu kurukia mpira wakati wa kurudi chini wangepata stroke au heart attack ndio maana waliruka kiushahidi ili kuondoa lawama.... Kwako jesse
A man in the space, a ball in the space, a ball in the net......kwako EnockYule mzee mhuni mhuni sana😀😀😀😀😀, mpira na macaluculation kibao, ila anafurahisha kumdikikiza. Mungu ampe uhai mrefu tuendelee kuenjoy uchambuzi wake.
Kumbe ila yuko vzr aiseehua ni mwalimu wa shule ya msingi!
View attachment Subpost 5 - Mwalimu Kashasha, mchambuzi maarufu wa soka nchini SWIPE LEFT ( 750 X 750 ).mp4Nimependa tafakuri ya mtaalam huyu wa uchambuz wa soka tena kwa Madaha.naomba cv yake tafadhal
Wee mungu anakuona ujue umemquote Dr bila chenga nimecheka Atari afu nazan Dr kasoma physiscs japo o level maan c kwa vpmo vile
Nakupata Czech Sana Jesse John embu endelea kunyanyavua kwa jins gan hili goal la ajib halikubalik fifakwako mwalimu kashasha
Anafanya practice ya shule kwenye footballMambo ya Measurements jamaa anaelewa sana mpaka anaboa
Anafanya practice ya shule kwenye football
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment IMG_20181020_094019_604_8900.mp4"ukiwa deep unaita 'airborne back pedal bicycle kick'''
Mzee unatishaIle aliyopiga john boko adebayor inaitwa grass cut blockbuster, kwako kamalada bwigane
Tartiiibu anachukua nafasi ya Dr Shika...Mzee wa dynamic rocket shot yaani kabla ya kupiga alimuangalia kipa yuko off position mshambuliaji akalitengeneza goli katika pembe tatu kisha akaitafuta ile nyuzi 90 ya juu afu akabend kama eagle anavyotanua mikono wakati wa kuruka ili kupata full body balance akapiga shot with full gas at his foot inasemekana shut lilikuwa linasafiri at 300km/s yaani hata kungekuwa na makipa wawili golini wangefungwa tuu na hata kama wangejaribu kurukia mpira wakati wa kurudi chini wangepata stroke au heart attack ndio maana waliruka kiushahidi ili kuondoa lawama.... Kwako jesse