Mwalimu Afariki Dunia baada ya kushambuliwa shambani Masasi - Mtwara kisa mgogoro wa ardhi

Mwalimu Afariki Dunia baada ya kushambuliwa shambani Masasi - Mtwara kisa mgogoro wa ardhi

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Mwalimu wa Shule ya Msingi Mwongozo, Hidaya Chiwembi (51), ameuawa baada ya kupigwa kichwani na kunyongwa shingo kutokana na mgogoro wa mipaka ya shamba lake, kisha mtuhumiwa kutoweka. Tukio hilo lilitokea usiku wa Machi 28, 2026, katika kijiji cha Mdenga, kata ya Nangoo, wilayani Masasi, mkoani Mtwara.

Mtoto wa marehemu, Nasri Rajabu, alisema aliandamana na mama yake shambani majira ya saa 3 asubuhi, lakini usiku marehemu hakurejea nyumbani. Alipofika shambani kutafuta, aliona kitenge chenye simu ya mama yake, lakini hakufanikiwa kuendelea na utafutaji kutokana na mwanga hafifu.

Familia na walimu wenzake walishirikiana kufanya msako usiku wa tukio bila mafanikio. Siku iliyofuata, waliporejea shambani majira ya saa 12 asubuhi, walikuta mwili wa marehemu ukiwa umetapakaa damu, na dalili za vurugu zikiwa zipo eneo hilo, ikiwemo simu iliyovunjwa na vitu vingine.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, Issa Suleimani, alithibitisha tukio na kusema marehemu alipata majeraha makubwa yaliyosababisha kupoteza damu nyingi na kufariki dunia.

Polisi wanasema mgogoro wa mipaka shambani ndio chanzo cha tukio hili na wanasaka mtuhumiwa aliyekimbia. Kamanda Suleimani alisema: “Tumeshamfahamu mtuhumiwa na mara tu atakapokamatwa atafikishwa mahakamani.”
 
Hili jambo linaonyesha kufeli kwa serikali kutimiza wajibu wa ulinzi ya Nchi yake.

Ni jambo baya sana lakini serikali ya CCM inalichukulio POA mauji ya wa kulima yaona fanywa na wamasai..

Yan wamasai Wana hama usiku usiku na serikali inakaa kimya ,
 
Niga unajuaje kuwa ni wamasai ?

Kwanini sio wamalila wanaogmbana hata ndugu kwa ndugu kisa viplot vya ardhi ?
Haha, mfugaji wa kawaida mfano mzaramo, mkwere hawezi kumpiga mkulima mpaka kumuua.

Ila wamasai nimeshuhudia kwa macho yangu vijana wa kimasai wakimtukana mmama watu mkulima matusi ya nguoni , kisa anawakataza mifugo isikatize kwenye shamba lake.

Nilikulia Moro kesi za maasai kuwapiga wakulima hasa wanawake na Kuna muda wanawabaka , shida ipo Kwa Local government and police, ndio wanafuga huu upumbavu.

We umeona wapi makundi ya mifugo ya kisafirishwa usiku usiku bila vibali.

Na Ndio maana nasema ulasama wa Nchi uko mashakani
 
Pole sana kwa Mtoto,Familia, ndugu na jamaa za Mwalimu huyo. Serikali iimarishe Ulinzi
 
Haha, mfugaji wa kawaida mfano mzaramo, mkwere hawezi kumpiga mkulima mpaka kumuua.

Ila wamasai nimeshuhudia kwa macho yangu vijana wa kimasai wakimtukana mmama watu mkulima matusi ya nguoni , kisa anawakataza mifugo isikatize kwenye shamba lake.

Nilikulia Moro kesi za maasai kuwapiga wakulima hasa wanawake na Kuna muda wanawabaka , shida ipo Kwa Local government and police, ndio wanafuga huu upumbavu.

We umeona wapi makundi ya mifugo ya kisafirishwa usiku usiku bila vibali.

Na Ndio maana nasema ulasama wa Nchi uko mashakani
Yale machafuko ya wakulima na wafugaji
Miaka ile ilinikuta kilosa,watu walichinjana sana mpaka kutenganisha viwilieili...
Wamasai walitembeza hela kwa viongozi sana,mwishowe watu wakaona huu ujinga retaliation ikaanza
Wamasai walikimbia
Ila watu waliuwana na ingekuwa smart phone zipo
Picha zile ingekuwa balaa

Ova
 
Sumaye aliacha hili jambo likawa kubwa zaidi
 
Utakuta kipande kilichokuwa kinagombewa
Ni hatua 2 za mguu,mtu anapoteza uhai
Ogopa sana ugomvi wa ardhi nuksi sana

Ova
Nilikumbana na kadhia hiyo, nikafanya tafakuri ya haraka nikaona Mh, isiwe kesi Bado Nina watoto wadogo na kakipande lenyewe hakanipunguzii chochote, nikamwachia. Hakuna la maana alilofanya mpaka sasa
 
Mali Mali Mali.

"Chanzo cha Mabaya ni Pesa(Mali) na Wasichana(Wanawake) chunga sana alishasema Salu T" - Fid Q
 
Haha, mfugaji wa kawaida mfano mzaramo, mkwere hawezi kumpiga mkulima mpaka kumuua.

Ila wamasai nimeshuhudia kwa macho yangu vijana wa kimasai wakimtukana mmama watu mkulima matusi ya nguoni , kisa anawakataza mifugo isikatize kwenye shamba lake.

Nilikulia Moro kesi za maasai kuwapiga wakulima hasa wanawake na Kuna muda wanawabaka , shida ipo Kwa Local government and police, ndio wanafuga huu upumbavu.

We umeona wapi makundi ya mifugo ya kisafirishwa usiku usiku bila vibali.

Na Ndio maana nasema ulasama wa Nchi uko mashakani
Umekulia Kilosa?
Mwaka 2018 kama sio 2019 kuna Mmasai alimchoma mkuki mkulima-alimchoma mdomoni, fikiria kama unafungua mdomo halafu mkuki unapita unatokea nyuma ya shingo.

Kilosa migogoro ya wafugaji na wakulima sidhani kama itakuja kuisha.
 
Kwani wamasai walitokea wapi hasa mbona hamafanani na wabantu au watanzania wengine akina damaro
 
Back
Top Bottom