Hata kama hutaki mgomvi atakutafuta tu ukiziachia hizo hatua 2 mwaka kesho anasogeza tena kwako hatua 2 ukikubali tena mwaka unaofuata anaanzisha tena kusogeza hatua 2 mpaka ukasilike tu wanadamu wanapenda ukorofi kutoka damuni kabisa.Utakuta hatu 2 za miguu zinagombewa
Mimi ugomvi wa ardhi hata sitaki kusikia
Ova
Mpaka wako weka alama kwa kuchimbia tofali kila kona tena kwa zege!Hata kama hutaki mgomvi atakutafuta tu ukiziachia hizo hatua 2 mwaka kesho anasogeza tena kwako hatua 2 ukikubali tena mwaka unaofuata anaanzisha tena kusogeza hatua 2 mpaka ukasilike tu wanadamu wanapenda ukorofi kutoka damuni kabisa.
hakuna mtu wa namna hiyo. tatizo watu wanayapeleka haya mambo kienyeji mno. kwani penye utata si wanaitwa maofisa wa ardhi wilaya na mikoa? kwani wao wana kazi gani? ila mtu wa namna hiyo hayupo.Hata kama hutaki mgomvi atakutafuta tu ukiziachia hizo hatua 2 mwaka kesho anasogeza tena kwako hatua 2 ukikubali tena mwaka unaofuata anaanzisha tena kusogeza hatua 2 mpaka ukasilike tu wanadamu wanapenda ukorofi kutoka damuni kabisa.
mkuu huyo jirani yako ulimuendea kwa mtaalam nini? kwamba lolote atakalodhamiria juu yako limrudie yeye?Mpaka wako weka alama kwa kuchimbia tofali kila kona tena kwa zege!
Tena wakati unaweka mpaka Waite wajumbe serikali za mtaa huku jirani yako akiwepo
Zaidi ya hapo nenda ardhi waje wakuweke becon kabisa
Miaka fulani nlinunuaga eneo kiluvya sema nlilipata kwa ubwete eneo hilo na sikuwa na mpango napo sana,jirani yangu alikuwa na style hizo hizo kusogea nkamkomesha mwishowe
Na nlimwambia wewe unapenda sana ardhi sana ehh
Hakumaliza mwaka alikuja uguaga akavuta
Uzuri eneo hilo na mimi nlikujaga liuza
Ova
Hakuna 😄 nature tu ugomvimkuu huyo jirani yako ulimuendea kwa mtaalam nini? kwamba lolote atakalodhamiria juu yako limrudie yeye?