DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Niga unajuaje kuwa ni wamasai ?Apo serikali ya mtaa wameshapokea rushwa kutoka kwa wamasai, baadae police nao wanasubirua mgao Yan 🚮
Haha, mfugaji wa kawaida mfano mzaramo, mkwere hawezi kumpiga mkulima mpaka kumuua.Niga unajuaje kuwa ni wamasai ?
Kwanini sio wamalila wanaogmbana hata ndugu kwa ndugu kisa viplot vya ardhi ?
Yale machafuko ya wakulima na wafugajiHaha, mfugaji wa kawaida mfano mzaramo, mkwere hawezi kumpiga mkulima mpaka kumuua.
Ila wamasai nimeshuhudia kwa macho yangu vijana wa kimasai wakimtukana mmama watu mkulima matusi ya nguoni , kisa anawakataza mifugo isikatize kwenye shamba lake.
Nilikulia Moro kesi za maasai kuwapiga wakulima hasa wanawake na Kuna muda wanawabaka , shida ipo Kwa Local government and police, ndio wanafuga huu upumbavu.
We umeona wapi makundi ya mifugo ya kisafirishwa usiku usiku bila vibali.
Na Ndio maana nasema ulasama wa Nchi uko mashakani
Utakuta hatu 2 za miguu zinagombewaNinapowaza suala la ardhi naonaga ni ufala tuu
Ardhi imeshagharimu maisha ya wengi, jambo la kihuzunisha hata hao unaowatafutia hiyo ardhi kwa damu ya mtu siku ukifa shamba linapigwa bei na hela inaishia kimbokaUtakuta hatu 2 za miguu zinagombewa
Mimi ugomvi wa ardhi hata sitaki kusikia
Ova
Sumaye aliacha hili jambo likawa kubwa zaidiYale machafuko ya wakulima na wafugaji
Miaka ile ilinikuta kilosa,watu walichinjana sana mpaka kutenganisha viwilieili...
Wamasai walitembeza hela kwa viongozi sana,mwishowe watu wakaona huu ujinga retaliation ikaanza
Wamasai walikimbia
Ila watu waliuwana na ingekuwa smart phone zipo
Picha zile ingekuwa balaa
Ova
Nilikumbana na kadhia hiyo, nikafanya tafakuri ya haraka nikaona Mh, isiwe kesi Bado Nina watoto wadogo na kakipande lenyewe hakanipunguzii chochote, nikamwachia. Hakuna la maana alilofanya mpaka sasaUtakuta kipande kilichokuwa kinagombewa
Ni hatua 2 za mguu,mtu anapoteza uhai
Ogopa sana ugomvi wa ardhi nuksi sana
Ova
Umekulia Kilosa?Haha, mfugaji wa kawaida mfano mzaramo, mkwere hawezi kumpiga mkulima mpaka kumuua.
Ila wamasai nimeshuhudia kwa macho yangu vijana wa kimasai wakimtukana mmama watu mkulima matusi ya nguoni , kisa anawakataza mifugo isikatize kwenye shamba lake.
Nilikulia Moro kesi za maasai kuwapiga wakulima hasa wanawake na Kuna muda wanawabaka , shida ipo Kwa Local government and police, ndio wanafuga huu upumbavu.
We umeona wapi makundi ya mifugo ya kisafirishwa usiku usiku bila vibali.
Na Ndio maana nasema ulasama wa Nchi uko mashakani
Ulifanya uamuzi mzuriNilikumbana na kadhia hiyo, nikafanya tafakuri ya haraka nikaona Mh, isiwe kesi Bado Nina watoto wadogo na kakipande lenyewe hakanipunguzii chochote, nikamwachia. Hakuna la maana alilofanya mpaka sasa