Mwalimu ajinyonga kisa kuachwa na Mpenzi, aagiza azikwe Siku ya Valentine na Mpenzi ndio asome Wosia wake

Yaani hiyo siku ya tarehe 14 February watu waache kuwa busy na mipango yao Jumatano ya Majivu japa duniani, eti wawe busy kufuata maagizo ya Mjinga fulani ambaye dunia imemshinda.

Halafu huyo "Mpenzi" wa kusoma huo Wosia ni yupi wakati alishaachwa na yeye akaweka sign kwa kujiua?
 
Ndugu zangu wanaume, ujue Wanawake wametuzidi akili...

Mimi nitaongea Kwa uzoefu wangu...

Hawa watu tunakutana nao tunawatongoza wakishatukubali wanaona Ili wasiachwe bas watulishe malimbwata Yao.

Vitu vinavyotengeza limbwata ni vitu vya kawaida, sukari, vitunguu, na unapokua karibu Naye atachukua athari zako na kuzifunga umpende peke yake, usimwache...

Sasa unampenda kupitiliza, huoni kama utaweza ishi bila Yeye.

Hakuna mapenzi ya kumpenda mtu Hadi kujiua nje ya ushawishi wa uchawi.

Nje ya uchawi Utaumia sawa ila utajidhibiti... Huwezi kujiua.

Ndugu zangu tuchukue tahadhari kutembea na Wanawake wengi ni hatari sana na hiyo itapelekea uchumi wako kufa Kwa maana hayo malimbwata hufunga nyota...
 
Hayo maneno katika barua yake kuna cha kujifunza. Mtu akikueleza shida yake mpe muda wa kumsikiliza, hata kama ni jambo lisilovutia kusikiliza.
Mwisho mpe moyo, hata kama unaona ni ujinga anaosema.
Last line [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
kwenye mapenzi ukitanguliza hisia harafu akili ikafuata basi matokeo yake ndio haya.
 
Hayo maneno katika barua yake kuna cha kujifunza. Mtu akikueleza shida yake mpe muda wa kumsikiliza, hata kama ni jambo lisilovutia kusikiliza.
Mwisho mpe moyo, hata kama unaona ni ujinga anaosema.
Naomba unisikilize
 
Hii dunia hii, acheni tu.

Yani wengine wanang'ang'aniwa mpaka wanatamani waachwe wapumue kidogo, wengine wanajiua kwa sababu ya kuachwa.

RIP.
 
kumbe bado dunia Ina mapopoma,elimu haijamsaidia chochotee kile ,afe tu
 
Sawa, ila tu yasiwe mambo ya mapenzi maana hakuna nafasi nimeshachukuliwa.πŸ˜€
Kwa hiyo upo tayari nife!? Kwani marehemu si amekufa Kwa kutosikilizwa na mpango wa kando!?
 
Kwa hiyo upo tayari nife!? Kwani marehemu si amekufa Kwa kutosikilizwa na mpango wa kando!?
Kama hujajifunza kwa marehemu sina cha kukusaidia πŸ˜€ πŸ˜€
 
hawa wanaume walilelewaje utotoni?
mbona wanadeka hivi?
uachwe ujiue? ameondoka na mbupu zako au?
mda mwingine bora upige nyeto ulale ukiamka akili zinawaza hela wenge la madem kinaisha.
hayo maagizo mwambie hatutekelezi, aje mwenyewe kuyafanya.
 
Na mpenzi wake waweza kuta NI Mwanafunzi ###Wazo###
 
kwenye mapenzi ukitanguliza hisia harafu akili ikafuata basi matokeo yake ndio haya.

Hasira mbele busara nyuma, zilimponza mr Mende kupinduka miguu juu kabla ya kufa... by Chuchu Sound 2001.
 
Huyo mwalimu nae amekoswa wanawake wengine ? [emoji51]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…