Mwalimu ajiua kutokana na umaskini licha ya kupambana sana

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Huyu ni mwalimu kutoka Zambia alikuwa anafundisha shule ya sekondari Nsajika day baadaye akahamishiwa Maguya.

Amesema amechoka licha ya kupambana sana alikuwa haoni mafanikio.

Kwenye pesa kiasi alizoacha ametoa maelekezo kwa mke wake ajenge nyumba, kiasi kingine aanzishe biashara kingine atumie na watoto.

Shujaa kaumaliza mwendo.

 
Chai
 
STORY YA KUFIKIRIKA.
 
Hii inatokana na Exposure ya maisha mazuri, unapambana ili uyafikie lakn wapi, na Umri unazidi kwenda. Kuna walimu wameridhika na maisha yao na hawawazi japo mshahara ni kiduchu. R.I.P Comrade, inauma sana 🥹
 
Kalogwa, au kalaaniwa
Pesa si hiyo kaacha,
 
Aisee
dah

jamaa kafanana sana na chucknoriss,starring wa movie,missing in action..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…