Mtu akiua tumfunge ya nini wakati aliekufa harudi tena duniani? ??Tunaonaje hapo? Mwanafunzi kapewa mimba na mwalimu wake kwa hasira tunamfuta kibarua mwalimu (mhalifu), mwanafunzi na mtoto atakayezaliwa wanahitaji kula, kuvaa, kulala, matibabu, na kusoma mume/baba amefutwa kazi (hana kipato tena), jukumu la kumlea mama na mtoto litakuwa la nani? tunazalisha chagudoa na watoto wa mitaani wengi kwa njia hii. NINI KIFANYIKE LIKITOKEA TATIZO LA MWALIMU KUMPA MWANAFUNZI MIMBA?
he, wanaokulaga watoto zao ni wengi sana, lakini kesi hizo haziifiki polisi wala mahakamani. we unafikiri ni kwanini kesi nyingi za aina hiyo zinaishia nyumbani?Mtoa mada unataka kusema na baba akimbaka mtoto asiadhibiwe kama wabakaji wengine kisa mtoto na mama yake watakosa wa kuwalisha?
Huko ni kufuga wahalifuhe, wanaokulaga watoto zao ni wengi sana, lakini kesi hizo haziifiki polisi wala mahakamani. we unafikiri ni kwanini kesi nyingi za aina hiyo zinaishia nyumbani?
Tunaonaje hapo? Mwanafunzi kapewa mimba na mwalimu wake kwa hasira tunamfuta kibarua mwalimu (mhalifu), mwanafunzi na mtoto atakayezaliwa wanahitaji kula, kuvaa, kulala, matibabu, na kusoma mume/baba amefutwa kazi (hana kipato tena), jukumu la kumlea mama na mtoto litakuwa la nani? tunazalisha chagudoa na watoto wa mitaani wengi kwa njia hii. NINI KIFANYIKE LIKITOKEA TATIZO LA MWALIMU KUMPA MWANAFUNZI MIMBA?
Mkuu lazima kuwe na surveillance ya kila mara kwenye familia za wafungwa ili kujua wanakula nini wanaishije na wanasomaje. vinginevyo tunafunga mtu mmoja na kutengeneza wafungwa 7 wengine mbeleni. ukishamfunga bread earner nini kinafuatia kwa dependants wake?Huko ni kufuga wahalifu