Mwalimu akimpa mimba mwanafunzi afukuzwe kazi?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Tunaonaje hapo? Mwanafunzi kapewa mimba na mwalimu wake kwa hasira tunamfuta kibarua mwalimu (mhalifu), mwanafunzi na mtoto atakayezaliwa wanahitaji kula, kuvaa, kulala, matibabu, na kusoma mume/baba amefutwa kazi (hana kipato tena), jukumu la kumlea mama na mtoto litakuwa la nani? tunazalisha chagudoa na watoto wa mitaani wengi kwa njia hii. NINI KIFANYIKE LIKITOKEA TATIZO LA MWALIMU KUMPA MWANAFUNZI MIMBA?
 
You have awarded a trophy keep posting
 
Mtoa mada unataka kusema na baba akimbaka mtoto asiadhibiwe kama wabakaji wengine kisa mtoto na mama yake watakosa wa kuwalisha?
 
Mtu akiua tumfunge ya nini wakati aliekufa harudi tena duniani? ??
 
Mtoa mada unataka kusema na baba akimbaka mtoto asiadhibiwe kama wabakaji wengine kisa mtoto na mama yake watakosa wa kuwalisha?
he, wanaokulaga watoto zao ni wengi sana, lakini kesi hizo haziifiki polisi wala mahakamani. we unafikiri ni kwanini kesi nyingi za aina hiyo zinaishia nyumbani?
 
Huko ni kufuga wahalifu
 
mm nadhani anatakiwa apandishwe cheo na mshahara ili aweze kumlea vzr mama mpya na mtoto wake.
Tunaonaje hapo? Mwanafunzi kapewa mimba na mwalimu wake kwa hasira tunamfuta kibarua mwalimu (mhalifu), mwanafunzi na mtoto atakayezaliwa wanahitaji kula, kuvaa, kulala, matibabu, na kusoma mume/baba amefutwa kazi (hana kipato tena), jukumu la kumlea mama na mtoto litakuwa la nani? tunazalisha chagudoa na watoto wa mitaani wengi kwa njia hii. NINI KIFANYIKE LIKITOKEA TATIZO LA MWALIMU KUMPA MWANAFUNZI MIMBA?
 
Huko ni kufuga wahalifu
Mkuu lazima kuwe na surveillance ya kila mara kwenye familia za wafungwa ili kujua wanakula nini wanaishije na wanasomaje. vinginevyo tunafunga mtu mmoja na kutengeneza wafungwa 7 wengine mbeleni. ukishamfunga bread earner nini kinafuatia kwa dependants wake?
 
mm nadhani anatakiwa apandishwe cheo na mshahara ili aweze kumlea vzr mama mpya na mtoto wake.
Una akili sana wewe. bora apewe adhabu ya kukatwa mshara wake hukohuko hazina kumhudumia mama na mtoto
 
Back
Top Bottom