kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Tunaonaje hapo? Mwanafunzi kapewa mimba na mwalimu wake kwa hasira tunamfuta kibarua mwalimu (mhalifu), mwanafunzi na mtoto atakayezaliwa wanahitaji kula, kuvaa, kulala, matibabu, na kusoma mume/baba amefutwa kazi (hana kipato tena), jukumu la kumlea mama na mtoto litakuwa la nani? tunazalisha chagudoa na watoto wa mitaani wengi kwa njia hii. NINI KIFANYIKE LIKITOKEA TATIZO LA MWALIMU KUMPA MWANAFUNZI MIMBA?