Kinachouma zaidi ni TBC wameingia dili nono na TFF kutangaza mashindano yanayosimamiwa na TFF kwa bilioni za kutosha. Na ninaamini moja ya mtaji wao mkubwa ulikuwa ni sauti, vionjo na uchambuzi wa kipekee wa Mwl Kashasha kwamba anavutia wasikilizaji wengi.
Halafu sasa Mwl Kashasha anatuaga kabla hata project yenyewe haijaanza.
Dah nimeumia sana. Mwl kashasha uchambuzi wake wa mwisho kuuskiliza ni siku ile tunawaoa mikia kwa mkapa na kuivuruga mpaka sasa. R.I.P great Kashasha.