TANZIA Mwalimu Alex Kashasha, mchambuzi nguli wa Soka afariki dunia

TANZIA Mwalimu Alex Kashasha, mchambuzi nguli wa Soka afariki dunia

Pole kwa familia, ndugu pamoja na tasnia ya mchezo wa kandanda haswa wachambuzi wa soka.

Hakika tutamkumbuka daima kwa umahiri wake wa kuchambua soka kitaalamu.

walio baki waige umahiri wake.

apumzike kwa amani.
 
IMG-20210819-WA0101.jpg
 
Ukiondoa kuburudisha watazamaji na wasikilizaji, hivi huyu Kashasha kaleta mabadiliko kwenye soka hapa nchini?
Rip
Yaani wewe hua una negative thinking tu! Hivi una matatizo gani?

Unauliza swali kisha umejijibu humo humo wewe mwenyewe!
 
Rip legend

ulibariki sana Soka letu na vionjo vyako murua
 
Back
Top Bottom