Mwalimu alipogeuza darasa kuwa maeneo ya kisasi

Mwalimu alipogeuza darasa kuwa maeneo ya kisasi

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Kuna mwalimu w kiume alikataliwa na mwanafunzi sasa yule teacher hasira zake akaamua kuzimalizia kwa darasa zima asee tulipigwa fimbo za kutosha tena tulikuwa tunapigwa za mapajani (chinichini ya kalio).
Waalimu hizi tabia hazifai hata kidogo mapenzi hayalazimishwi lkn pia ni kinyume na sheria
 
Back
Top Bottom