Mwalimu anaekubalika na wanafunzi lazima apitie ualimu?

Mwalimu anaekubalika na wanafunzi lazima apitie ualimu?

kbmk

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
776
Reaction score
158
Nimeshasikia mabishano mara nyingi watu ambao wamesoma education wanadai kuwa kama hujasomea ualimu huwezi kuwafundsha watu wakuelewe yaani hujui mbinu za kufundishia, je kiuhalisia ni kweli hiki kitu wadau?
 
Ni kweli kabisa! Ualimu ni muhimu sana kwenye suala zima la ufundishaji wanafunzi.
 
mbinu utazippata wapi kama sio mwalm.
 
utakuwa unafundisha hovyo
 
Sasa mbona kuna watu sio walimu na ndio wanaongoza kwa kufundisha vizuri na kufaulisha

Nenda pale mchikichini utawakuta

Ualimu ni zaidi ya kusomea,ni kipaji a person is born with.You don't have that,hata usome hizo teaching methodologies hadi wapi,bado utakuwa unaeleweka kwa tabu sana
 
kuna tofauti kubwa sana kati ya a good teacher na effective teacher.kimsingi kama hujasomea ualimu we ni a good teacher sio effective one.sina muda wa kujadili hz terminogies 2 ila zigoogle uone jinsi ilivyo muhimu kusomea kuliko kufundisha kwa mazoea.
 
Sasa mbona kuna watu sio walimu na ndio wanaongoza kwa kufundisha vizuri na kufaulisha

Nenda pale mchikichini utawakuta

Ualimu ni zaidi ya kusomea,ni kipaji a person is born with.You don't have that,hata usome hizo teaching methodologies hadi wapi,bado utakuwa unaeleweka kwa tabu sana

Are they lecturing or teaching contigency?

Do they allow you to have group discussion?

Do they give you exercise after class?

Do they give you a chance to build your thinking capacity?

Do they help you with discipline matters?

Do they give you counceling and guidance?

Do they...............?

Teaching is a profesion process, not every one can teach in classroom context.
 
Unafikiri kwanini waliweka kozi za ualimu? Watalaam na maphilosopher walidesign mwalimu kuwa asomee ualimu.Sasa wewe kwa kuangalia walimu wa mchikichini tu unataka kuhitimisha kuwa kusomea ualimu sio muhimu.
 
utakuwa unafundisha hovyo

Hata afundishe vizuri atajua vipi kuwahandle watoto kwenye cases nyingine nje ya ufundishaji? Kama ualimu ingekuwa ni kufundisha tu hakuna kingine basi ingekuwa rahisi sana.
 
Sasa mbona kuna watu sio walimu na ndio wanaongoza kwa kufundisha vizuri na kufaulisha

Nenda pale mchikichini utawakuta

Ualimu ni zaidi ya kusomea,ni kipaji a person is born with.You don't have that,hata usome hizo teaching methodologies hadi wapi,bado utakuwa unaeleweka kwa tabu sana

wewe ni victim. wa nyangwine
 
sasa mbona kuna watu sio walimu na ndio wanaongoza kwa kufundisha vizuri na kufaulisha

nenda pale mchikichini utawakuta

ualimu ni zaidi ya kusomea,ni kipaji a person is born with.you don't have that,hata usome hizo teaching methodologies hadi wapi,bado utakuwa unaeleweka kwa tabu sana

si lazima.wanawakariri
sha past papers hasa social science atakayeotea anapasua paper.akitoka akipewa interview anashindwa anakosa kazi.mwanafunzi anatakiwa aelewe na kukaririshwa.
 
Kukariri ni njia ya kujifunzakama bado hujajua mkuu chukua hiyo. walimu wasilalamike watu wasio walimu ni wabovu ubaoni ila aliyesomea ualimu ndo yupo safi hii hamuna kabisa. Wakati nipo ilboru 2005-2007 kuna ticha alikua anaitwa marshali ovyoo kabisa advance chemistry watu tulikua tuanapga kwa mkandawile tunakomaa zetu darasani haoni mtu c ndo waliosomea ualimu hao
si lazima.wanawakariri
sha past papers hasa social science atakayeotea anapasua paper.akitoka akipewa interview anashindwa anakosa kazi.mwanafunzi anatakiwa aelewe na kukaririshwa.
 
Sisi tuliopita shule tofauti tofauti tumeona mengi wapo watu hatujasomea ualimu na tunajua kufundisha yaani wapo walimu na diploma zao ukimuibia kidaftari chake cha kufundishia umeua yaani kama hujui basi fahamu notes nyingi zinazotumika spesho schools Tanzania hazitoki kwa walimu waliosomea ualimu hatutaki kuzinguliwa
mbinu utazippata wapi kama sio mwalm.
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu mimi nkishika chaki kufundisha Math au physics watoto wanatulia wewe japo c fani yangu hiyo ni dhana dhaifu bana
utakuwa unafundisha hovyo
 
Discussion sawa, mazoezi pia sawa lakini je umeshawafundisha wanafunzi kuweza kufanya hayo? kwani nakumbuka Advance ilboru tulipigishwa practical kabla ya theory teena na mwalimu (mama flani mlokole) ebana chemistry nkawa siipendi tofauti na olevel tulikua tunaliita mdogo wake physics advance likawa baba lake physics. Huku theory kaka mzushi marshali ukimuuliza iko hivyo hivyo hiyo kaandika notes zake kwenye daftari la page 80 na halija jaa ukionyeshwa za mkandawile huna hamu hata ya kutinga darasani mana ni opetevu wa mda

Back
Top Bottom