Mwalimu anapoghairi kuripoti kituo chake kipya baada ya kubadilishiwa na TAMISEMI

Mwalimu anapoghairi kuripoti kituo chake kipya baada ya kubadilishiwa na TAMISEMI

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
8,105
Reaction score
5,629
Kama mwalimu akaghairi kwenda aliko pangiwa kazi upya...je uamisho utakuwa batili kwa mwalimu mwingine aliye ripoti?
 
Unawezaje kugoma kuripot kituo kipya ulichopangiwa other wise acha kaz.
Hakuna uhamisho batili hapo.
 
Unawezaje kugoma kuripot kituo kipya ulichopangiwa other wise acha kaz.
Hakuna uhamisho batili hapo.

yaani mwalimu A wa kituo X akabadlshana na mwalimu B wa kituo Y

Mwisho wa siku mwalimu A wa kituo X akaenda kuripoti kituo Y pasipo mwalimu B wa kituo Y kufanya hivyo

Ila akaandika barua TAMISEMI kuwajulisha sababu za kushindwa kwenda kituo X

Je kuna shida hapo?
 
hakuna shida; kibondo Luna mel alibadilishana na mel WA tanga mwl WA Tanga alihamia kibondo Ila wa tanga aliambiwa uhamisho wake haukukamilika.Nzur zaid mwl wa tanga alihamia shule aliyokuwa mwl aliyekuwa akibadilishana naye wakat yeye hakuhama.
 
Je,hakuna utaratibu wakujulisha TAMISEMI?
 
Back
Top Bottom