Mwalimu apigwa darasani na Mwalimu mkuu baada ya kuchelewa kazini

Mwalimu apigwa darasani na Mwalimu mkuu baada ya kuchelewa kazini

Mkuu unapigwa na unashukuru kwamba yameisha na maisha yasonge.

Sema huyo mkuu wa shule kapiga kipumbaf, katengeneza kesi hiyo.

Mi kuna mtu aliwahi toroka kazi kwa muda wa miezi 6.

Aliposikia sijaunda board kwa ajili ya kumfuta akatumia mbinu ya Lipumba, akajirudisha mwenyewe.

Ile kumuona akanijaza ghadhabu, maana alinikuta naandaa bord na sikuwa na wasi wasi kama anaweza kufanya timing ya hivyo.

Nilipomuita kumhoji sababu zilizomfanya akahuni kazi, majibu yake eti wanamazingaombwe wenzake walimchezea akajishitukia anasahau kazi, akaniomba nimsamehe.

Nikamwambia achague option mbili tu, nimjazie fomu za kuachishwa kazi au nimlambe hamsa ushirini tuiue soo, nikampa dk10 anipe majibu.

Akanipa jibu kwamba nimpige ili yaishe.

Nikamwambia:'siyo nikutandike hapa nikute yamezagaa kwa staff nzima, sitaki, nikakata mkwaju, 'haya bwana lala, na ukishika kupoza tunafuta, tukawa tumeelewana hivyo.
Nikawa nimempima na ubavu wake kwanba hata ajae upepo hawezi kunifanya kitu, buruza mboko hadi kojo.

Na wengine staff wezi, ulipopatikana ushahidi wa kuwatia hatiani, nikawaita kubagain nini chaguo lao sahihi, jela au mboko ili yaishe.

Wakachagua mboko kwa madai kwamba 'zimwi likujualo...'.

Piga yangu sasa ni ike ya kuua mwizi ni kufuru.
Ipo siku watakuweka na wewe uzito wa maana 😏😏
 
Kenya wako vizuri!
Nimefurahishwa na Tamko la Chama cha Waalimu kutishia kugoma kama Mwalimu Mkuu hatachukuliwa hatua za kinidhamu!
Ingekuwa huku TZ sasa hilo Tamko lingeweka mtu mahabusu!
Viongozi wa Chama cha Waalimu wasio na Ajira sijui kama wataachiwa Leo!
 
Mkuu unapigwa na unashukuru kwamba yameisha na maisha yasonge.

Sema huyo mkuu wa shule kapiga kipumbaf, katengeneza kesi hiyo.

Mi kuna mtu aliwahi toroka kazi kwa muda wa miezi 6.

Aliposikia sijaunda board kwa ajili ya kumfuta akatumia mbinu ya Lipumba, akajirudisha mwenyewe.

Ile kumuona akanijaza ghadhabu, maana alinikuta naandaa bord na sikuwa na wasi wasi kama anaweza kufanya timing ya hivyo.

Nilipomuita kumhoji sababu zilizomfanya akahuni kazi, majibu yake eti wanamazingaombwe wenzake walimchezea akajishitukia anasahau kazi, akaniomba nimsamehe.

Nikamwambia achague option mbili tu, nimjazie fomu za kuachishwa kazi au nimlambe hamsa ushirini tuiue soo, nikampa dk10 anipe majibu.

Akanipa jibu kwamba nimpige ili yaishe.

Nikamwambia:'siyo nikutandike hapa nikute yamezagaa kwa staff nzima, sitaki, nikakata mkwaju, 'haya bwana lala, na ukishika kupoza tunafuta', tukawa tumeelewana hivyo.
Nikawa nimempima na ubavu wake kwamba hata ajae upepo hawezi kunifanya kitu, buruza mboko hadi kojo.

Na wengine staff wezi, ulipopatikana ushahidi wa kuwatia hatiani, nikawaita kubagain nini chaguo lao sahihi, jela au mboko ili yaishe.

Wakachagua mboko kwa madai kwamba 'zimwi likujualo...'.

Piga yangu sasa ni ile ya kuua mwizi ni kufuru.
Sikuwa na upako wa ku-comment, imenilazimu.
 
Mwanaume mwenzio anakupiga vipi kizembe tena ndani ya darasa kisa cheo/kazi?

Mie ningerusha hata madawati
Bora hajapigana, angepoteza ugali wa wanae bure
 
Back
Top Bottom