Mwalimu apigwa darasani na Mwalimu mkuu baada ya kuchelewa kazini

Ipo siku watakuweka na wewe uzito wa maana 😏😏
 
Kenya wako vizuri!
Nimefurahishwa na Tamko la Chama cha Waalimu kutishia kugoma kama Mwalimu Mkuu hatachukuliwa hatua za kinidhamu!
Ingekuwa huku TZ sasa hilo Tamko lingeweka mtu mahabusu!
Viongozi wa Chama cha Waalimu wasio na Ajira sijui kama wataachiwa Leo!
 
Sikuwa na upako wa ku-comment, imenilazimu.
 
Mwanaume mwenzio anakupiga vipi kizembe tena ndani ya darasa kisa cheo/kazi?

Mie ningerusha hata madawati
Bora hajapigana, angepoteza ugali wa wanae bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…