MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Mada ni michezo, Bujubuju, mitungi na Sex
Utabaki salama, nje ya hapo 😁😁😁😁😁
Utabaki salama, nje ya hapo 😁😁😁😁😁
Alitoa maoni yake lakin tukumbuke Lisu yupo Mahakamani sasa kusema aachiwe huru inaweza kuonekana kama uchochezi ukizingatia aliyekamatwa ni mwanasiasa.Aliandika Facebook Mwachieni Lissu, siasa mtaani zinoge.
MWALIMU WA ITUNGE SECONDARY KYELA,MBEYA ASHIKILIWA NA POLISI ZAIDI YA WIKI TATU BAADA YA CHAPISHO LA FACEBOOK
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Itunge iliyopo wilayani Kyela, mkoani Mbeya Anyambilile Ibrahim Mwamwile, maarufu kama Nickodem Kitalati katika mitandao ya kijamii, anaripotiwa kushikiliwa na Jeshi la Polisi katika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Mbeya (RCO) kwa zaidi ya wiki tatu.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana, kukamatwa kwa mwalimu huyo kunadaiwa kuhusishwa na chapisho aliloliandika kupitia ukurasa wake wa Facebook lenye ujumbe unaosema, "Tundu Lissu aachiwe huru."
Tumefanya kila jitihada kumtafuta kiongozi wake Mr Aliko Mwaseba ambae ndiye Mkuu wa shule ya Itunge Secondary (0755 781 073) bila mafanikio.
Hata hivyo, hadi sasa Jeshi la Polisi halijatoa taarifa rasmi kueleza sababu za kuendelea kumshikilia mwalimu huyo, wala kuthibitisha tuhuma zozote zinazomkabili.
View attachment 3625935
Sasa ndio unashikiliwa na polisi wiki tatu?Alitoa maoni yake lakin tukumbuke Lisu yupo Mahakamani sasa kusema aachiwe huru inaweza kuonekana kama uchochezi ukizingatia aliyekamatwa ni mwanasiasa.
kumbe kusema TL aachiwe n kosa kisheria
Mkamtoe sasa shujaa wenu jamani , sio mnasema shujaa halafu mmejifungia makabatini na vi tecno vyenuHuyu ni shuaa wetuView attachment 3625942
Halafu mtu anashangaa kwa nini polisi wakifa watu wanashangilia. Kuwa polisi nchi hii ni laana.Aliandika Facebook Mwachieni Lissu, siasa mtaani zinoge.
MWALIMU WA ITUNGE SECONDARY KYELA,MBEYA ASHIKILIWA NA POLISI ZAIDI YA WIKI TATU BAADA YA CHAPISHO LA FACEBOOK
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Itunge iliyopo wilayani Kyela, mkoani Mbeya Anyambilile Ibrahim Mwamwile, maarufu kama Nickodem Kitalati katika mitandao ya kijamii, anaripotiwa kushikiliwa na Jeshi la Polisi katika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Mbeya (RCO) kwa zaidi ya wiki tatu.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana, kukamatwa kwa mwalimu huyo kunadaiwa kuhusishwa na chapisho aliloliandika kupitia ukurasa wake wa Facebook lenye ujumbe unaosema, "Tundu Lissu aachiwe huru."
Tumefanya kila jitihada kumtafuta kiongozi wake Mr Aliko Mwaseba ambae ndiye Mkuu wa shule ya Itunge Secondary (0755 781 073) bila mafanikio.
Hata hivyo, hadi sasa Jeshi la Polisi halijatoa taarifa rasmi kueleza sababu za kuendelea kumshikilia mwalimu huyo, wala kuthibitisha tuhuma zozote zinazomkabili.
View attachment 3625935
Niko mbioni, tatizo uhamiaji wananikwamisha, process za passport n kama vile unaenda mbinguniTufanye mpango tuzamie nje tu au unaonaje?
TANPOL hakunaga mwenye akili.kumbe kusema TL aachiwe n kosa kisheria
Ndio iwe wiki3kituoni?Kuongelea suala likuwepo mahakamani ni kuingilia uhuru wa mahakama
upo umuhimu wa kutengeneza nguo zimeandikwa FREE LISSU
Unaenda kuna mishe au kama mtumwa?Niko mbioni, tatizo uhamiaji wananikwamisha, process za passport n kama vile unaenda mbinguni
Cjajua, itaeleweka nikifikaUnaenda kuna mishe au kama mtumwa?
Siwameshaona kuwa wanaogopwaHii serikali inarudia yale yale yaliyopelekea wananchi wapate hasira na kutokea yaliyotokea 29 Oct.
Daah nchi gani hiyo naweza kukuunga tukasepa woteCjajua, itaeleweka nikifika
Kwa kweli nchi yetu ipo kwenye utawala wa shetani, kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhufiwa! Hivi kusema Lisu aachiwe ni kosa gani kwa mujibu wa sheria za nchi?Mungu tunusuru na haya mashetani mauaji
Aje amwage moto sheli.kumbe kusema TL aachiwe n kosa kisheria
Acha upotoshaji, kanuni ipi unasema wawe na political neutrality? Mbona watekaji wa kata wanaendelea mabumunda ya ccm yaliyokataliwa.Public servants’ ethics zinasema Public servants wawe na Political neutrality. Mwalimu kakosea kuleta siasa ila Hakutakiwa kukamatwa na Polisi alitakiwa awe dealt na taratibu za kiutumishi!
Vipi yule mwanajeshi aliyesalimia kwa salamu ya CCM "kazi na utu"....Public servants’ ethics zinasema Public servants wawe na Political neutrality. Mwalimu kakosea kuleta siasa ila Hakutakiwa kukamatwa na Polisi alitakiwa awe dealt na taratibu za kiutumishi!
Mtu kusema aachiwe ndio uchochezi?Alitoa maoni yake lakin tukumbuke Lisu yupo Mahakamani sasa kusema aachiwe huru inaweza kuonekana kama uchochezi ukizingatia aliyekamatwa ni mwanasiasa.