Mwalimu ashikiliwa na Polisi kwa Wiki 3 kwa kuandika Facebook kutaka Lissu aachiwe huru

Alitoa maoni yake lakin tukumbuke Lisu yupo Mahakamani sasa kusema aachiwe huru inaweza kuonekana kama uchochezi ukizingatia aliyekamatwa ni mwanasiasa.
 
Sasa ndio unashikiliwa na polisi wiki tatu?

Hiyo comment ya kisiasa haina kosa lolote la kijinai. Ni uonevu tu dhidi ya vijana wa Tanzania.
 
Halafu mtu anashangaa kwa nini polisi wakifa watu wanashangilia. Kuwa polisi nchi hii ni laana.
 
Public servants’ ethics zinasema Public servants wawe na Political neutrality. Mwalimu kakosea kuleta siasa ila Hakutakiwa kukamatwa na Polisi alitakiwa awe dealt na taratibu za kiutumishi!
Acha upotoshaji, kanuni ipi unasema wawe na political neutrality? Mbona watekaji wa kata wanaendelea mabumunda ya ccm yaliyokataliwa.
 
Public servants’ ethics zinasema Public servants wawe na Political neutrality. Mwalimu kakosea kuleta siasa ila Hakutakiwa kukamatwa na Polisi alitakiwa awe dealt na taratibu za kiutumishi!
Vipi yule mwanajeshi aliyesalimia kwa salamu ya CCM "kazi na utu"....
 
Alitoa maoni yake lakin tukumbuke Lisu yupo Mahakamani sasa kusema aachiwe huru inaweza kuonekana kama uchochezi ukizingatia aliyekamatwa ni mwanasiasa.
Mtu kusema aachiwe ndio uchochezi?

Je wanaosema kila mradi umejengwa na kupewa pongezi Samuya hao hawafanyi uchochezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…