Mwalimu ashikiliwa na Polisi kwa Wiki 3 kwa kuandika Facebook kutaka Lissu aachiwe huru

Atapewa kesi ya Ugaidi

Kwenye issue za Uchaguzi mtumishi wa Umma unaweza kuomba likizo bila malipo na ukaenda ku context ukishinda utumishi basi ukishindwa unarudi kazini kama kawaida someni sheria , Kanuni na miongozo vijana
 
Acha upotoshaji wewe nguruwe wa kizimkazi, kanuni ipi unasema wawe na political neutrality? Mbona watekaji wa kata wanaendelea mabumunda ya ccm yaliyokataliwa.
We mjinga must maintain political neutrality while performing official duties. Ni moja ya Ethics/miiko ya utumishi wa Umma ulishawahi kuwa mtumishi wa umma? Au unabisha kana Heche tuu?
 
Kwenye issue za Uchaguzi mtumishi wa Umma unaweza kuomba likizo bila malipo na ukaenda ku context ukishinda utumishi basi ukishindwa unarudi kazini kama kawaida someni sheria , Kanuni na miongozo vijana
Unauelewa finyu sana dogo kama ilivyo kwa vitoto vingi vya kicccm..nina mifano mingi mno ya mtu kama mwalimu wa shule ya secondary mtangalanga ambae ni katibu wa uvcccccccm je napo kaomba likizo? Unataka kutetea ujinga wako wakati sisi tunayaona haya kwa macho yetu mpuuzi weww
 
Dah mwalimu wa physics, peace sana huyo bro
Haijalishi.
Kusema tu "Tundu Lissu aachiwe" kunampeleka jela mwalimu; anayeonekana hapo kwenye picha kuwa kijana mtulivu tu!
Atapewa kesi ya Ugaidi
Sijui kama unakumbukumbu na hili, lakini miaka michache iliyopita nilipitisha ombi langu kwako kwa viongozi wa CHADEMA kuwa na kumbukumbu (record) za matukio ya uonevu kama haya kwa kiasi cha ukamilifu wanachoweza kuwa na taarifa juu yake.

Mambo ya namna hii hayafai kuyaacha tu na kuyapuuza tu kama hayakutokea.

Hata hivyo, inaonekana huko Mbeya kuna tatizo la kipekee zaidi; maanake hata ubinaadam tu hauwi na makosa ya namna hii.
 
We mjinga must maintain political neutrality while performing official duties. Ni moja ya Ethics/miiko ya utumishi wa Umma ulishawahi kuwa mtumishi wa umma? Au unabisha kana Heche tuu?
Unaandika uharo mpuuzi kabisa wewe wakati sisi tunaishi humo katika jamii tunaona ni kwanamna gani walimu na watendaji wa vijiji na kata wanavyotinga Kofia za ccm na hawafanywi chechote kile ila sasa Ikiwa kinyume chake haraka sana mkurugenzi lazima akuite....vipi mkuu wa wilaya na mkurugenzi ambao wanavaa mavazi ya vcccccm na kuhudhuria vikao ?mwanamke mwenzio samia alisema katiba ni kijitabu tu
 
Hii picha imepigwa pale chuo cha kata morogoro????
 
Hii serikali inarudia yale yale yaliyopelekea wananchi wapate hasira na kutokea yaliyotokea 29 Oct.
Kazi kutumia watu sms za kuhimiza Amani ila nyuma ya pazia wao ndio wanachokonoa migogoro na kuharibu utulivu kwenye taifa.
 
Mmmmmhhhh kama ni kweli basi Idd Amin na Bokassa ni cha mtoto
 
Polisi wanafanya kazi kisiasa.

Sasa ukiandika Free Lissu ni kosa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…