Mwalimu asimamishwa kazi kwa kumtukana Rais Samia

Hii kasi ya maamuzi na utekelezaji ingefanyika kwenye kutatua kero za wananchi ingekuwa poa sana
 
Silinde buana!
Hapo hakuna kosa,rais alisema akosolewe kwa staha.
 
Naibu waziri ana mamlaka gani ya kumsimamisha mtumishi kazi? Kwa sheria & kanuni ipi? Upuuuzi mtupu
 
Silinde buana!
Hapo hakuna kosa,raisi alisema akosolewe kwa staha.
 
Sasa wanaona kazi ya ualimu ni bonge la kazi mpaka wamfukuze Hugo mwalimu mwenye stress ya kutokuongezewa mshahara kwa miaka 6 ya yule sanamu
Mimi naona ajiunge Chaggadema, huko wanaajiri na kutoa mishahara ya milioni 30 kwa mwezi.
 
Kama Ticha ni mpiga 'mambo' wangempa tu onyo inatosha....ali mradi kama anapiga baada ya kazi.
 
Silinde hajielewi kabisa,ana kimbelembele kilichopitiliza.
 
Huyu naibu waziri ni mpumbavu, na ndo hao watafuta sifa KWa uongonzi wasiostahili, kujipendekeza Kama yale ya mwendazake , kwani mtumishi wa umma Hana mawazo yake mbadala?

Aliniambia mzee wangu siku moja nikiwa tanga mwaka mmoja,

Kwamba wakati wa Mchakato wa Vyama vingi yeye akiwa ameamia kiwanda Cha mkonge akitoake fire Dar ,KWa mshahara wa 350 tsh TOKA tsh 300, yalipita maoni KWa wafanyakazi wa umma akiwemo yeye ,akakubali kwenye form ya maandishi kwamba anaunga Vyama vingi basi,anakwambia kila siku wanausalama walikua hawapungui kwake,(KWA kujipendekeza KWA Mwalim ) na walipata haibu ya mwaka baada ya mwl ruhusu vyama vya siasa ,

So SILINDE NI MNAFIKI Rais asisemwe kwani ndo Mungu wa Tanzania shame at you Silinde, na je amejuaje kwamba Mwl alicho kisema hata Rais hakioni sawa?

Eti kafanya uchunguzi ,yeye Kama nani fanya uchunguzi, vyombo vya uchunguzi si vipo , ngoja nifuatilie hii kitu , bado Niko maskini ila uonevu spendi, ,Hawa lazima kupigwa maombi watenguke viuno,wasife ili adabu iwakae,

Una msimamisha mtu KWa Mambo ya kijinga na upumbavu, familia yake anailisha yeye,? Na li v8 lake mjinga Sana, sifa za teuzi zitawaua Kama sio kuwatokea puani ,wait and see
 
Huyu mwalimu anatakiwa apewe onyo na siyo kufukuzwa kazi.
Kwa ujumla ni kwamba wataalam ikiwa ni pamoja na walimu hawatakiwi kujihusisha na siasa moja kwa moja na hivyo hawatakiwi kuadhibiwa na wanasiasa.
 
Huyo mwalimu ni wa kike? maana nimeona kama kuna maneno ya kusutana ambayo ni common miongoni mwa wanawake.....
 
Hata huyo Das na Ras wana Mamlaka kwa Watumishi walio chini hao tu,Mwalimu yupo chini ya Mkurugenzi ndio mwenye Mamlaka ya kumsimamisha kazi tena ni baada ya kikao cha nidhamu kukaa.
 
Tumekwisha. Kukataa kumuunga mkono Rais kwa sababu ni mwanamke limekuwa kosa lake kumsimamisha kazi mtu? Na kasema hivyo akiwa sokoni na sio kazini kwake? Hawa ex Chadema kweli hawafai.

Amandla...
 
Tumekwisha. Kukataa kumuunga mkono Rais kwa sababu ni mwanamke limekuwa kosa lake kumsimamisha kazi mtu? Na kasema hivyo akiwa sokoni na sio kazini kwake? Hawa ex Chadema kweli hawafai.

Amandla...
Fafanua KWA kina mkuu ,x chadema wamanisha nini?
 
Walikuwa wana chama wa Chadema na wakahamia Chama Cha Mapinduzi.

Amandla...
Ok,ila pia bila kujali ni chama gani ,mtumishi sio mfungwa, anaweza toa mawazo binafsi , mfano akisema SSHrais hamuungi mkono ana sababu zake ,Sasa Silinde na kimbelembele ati ana Msimisha KAZI , ni ujinga uliopitiliza kiwango cha Uwaziri,
 
Ok,ila pia bila kujali ni chama gani ,mtumishi sio mfungwa, anaweza toa mawazo binafsi , mfano akisema SSHrais hamuungi mkono ana sababu zake ,Sasa Silinde na kimbelembele ati ana Msimisha KAZI , ni ujinga uliopitiliza kiwango cha Uwaziri,
Silinde ni ex Chadema.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…