Mwalimu asimamishwa kazi kwa kumtukana Rais Samia

halafu ni kwa mtazamo wangu kesi hiyo ni word against word maan aaliye mshitaki alimskia akiongea sokoni na kama hana ushaidi basi sijaona hakiya yeye kusimamishwa pasipo uchunguzi nikesiya upande mmoja tu
Ni mambo ya hovyo tupu
 
Kichwa cha habari kilitakiwa kiwe : MWALIMU ASIMAMISHWA KAZI KWA KUTUHUMIWA KUMTUKANA RAIS. Moderator
 
Magu legacy in action. It will take time before the hangover is clear.
 
Shame republic of ignorant Tanzania
 
Mwalimu huyo kufanya hivyo na mara ya mwisho ni wiki moja iliyopita akiwa sokoni alipoona Rais Samia kaongeza madaraja na mishahara kwa watumishi wa umma akasema ni hongo ili amuunge mkono akasema hawezi muunga mkono sababu ni mwanamke.
Sasa kwani Rais Sami ni MWANAUME? Mimi sijaona tusi alilotukanwa hapa!
 
Huyu silinde asifikiri jiwe bado yupo, zama zimebadikika

Mwalimu kusema kupandishwa madaraja ni hongo ili mama aungwe mkono ni kosa?
Mona mnamsema Silinde hamumgusi naliyesema tena kwa Jazba. Naye amesema atampeleka kwenye Mamlaka Husika. Hebu acheni Uhasidi wenu!. Halkafu =Hayati ameondoka hebu muacheni apumzike muendelee na yenu amewaachia mnafurukuta furukuta tu!
 
Iruhusiwe kumtukana rais kama sehemu ya political speech.

Ukiwazuia watu kumtukana rais, unawaacha wafurukutwe na machungu yao vichwani, mwishowe waamue kumpiga rais risasi.

Lese Majeste is medieval.

This is supposed to be Tanzania, not Thailand.
 
Duh Kama ndo perception yake kwamba hawezi muunga mkono mwanamke wamuache
 
Hiyo Silinde haache ujinga, mbona tunajua, kwamba hao anao wafanyia mizengwe walikuwa wanampinga kwenye uchaguzi mwaka Jana. Haache visasi vya kipuuzi, vitamfelisha .yeye inatakiwa avunje makundi ili imsaidie 2025 ,atajua hajui huko mbeleni
 
Kama silinde ndo hamefika stage hiyo basi
Lahana za mwendazake
Ila jamaa alikuwa smart sana kipindi yupo cdm
 
Ukweli usemwe, mama yenu hatoshi…. moyo wako pia unajua hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…